gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,714
Dah inauma sana, embu fikiria,(Hesabu vizuri) 1. Ijumaa, 2. Jumamosi, 3. Jumapili. Yaani hajarudi anampa jamaa mambo anajipakulia tu vitu...... Bora ingekuwa siku moja tena dk kadhaa tu....................!:whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo:
hivi mkuu waona hili ni kosa sana??
umewah kujiuliza je ingekuwa ni wee mwanaume umefanya hayo?
Kimbweka niliwah kumpa hubby wangu nafasi ya kubadilika alipokiri na kutubu kosa lake na mpaka leo ni good hubby ever.............tena najisifia kuwa nae period.
nilimsamehe na wala sijutii hata siku moja ingawa alileta mwanamke ndani, nikalala chumba cha watoto yeye akalala na mwanamke, na asbh nikawapikia kifungua kinywa, sikuona kama mume wangu ni mkosa bali niliona uongo wa shetani tu. sikuwah kumchukia wala kumwona mbaya maishani mwangu.
alipoona mapenzi yangu kwake ni makubwa, na wala sijawah kukosea kutimiza wajibu wangu kwake na kwa familia alirudi. Alipokiri, na kutubu kwa kumaanisha nilisamehe na tukaendelea na maisha. mpaka leo maisha yetu ni ya furaha na amani na baraka kila iitwapo leo.
kwangu mm maisha ni upendo, na upendo hauhesabu mabaya.
Last edited by a moderator: