CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni, tupa kule
Nimependa haya maneno!!!!!
ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni, tupa kule
Kaka kama aliweza kupanua miguu yake akaingiliwa na mwanaume mwingine wakati mko katika mahusiano(sio kwamba labda mlipotezeana kwa muda) MPIGE CHINI!!!
Amini nakwambia ukiwa nae itakuwa inajirudia rudia kichwani mwako ukiwaza na itapelekea usimpende na hata utajikuta una mahusiano na wanawake wengine kupunguza hasira zako.
Songa mbele, kama pressure ya mama yake kaisababisha yeye mwenyewe na anastahili kupata adhabu yake.
Wadau, jana niliwaombeni ushauri juu ya binti ambaye alikuwa mchumba wangu, lakini hakuwa mwaminifu, alilala kwa mwanaume mwingine toka ijumaa hadi jumapili na baadae kuja kuomba msamaha!
Leo, nataka kuwapa feedback-kwanza ile jana dada wa binti alijitahidi mpaka akaonana na mimi japo nilijitahidi sana kujenga mazingira ya mimi kuto kukutana na yeye, alipo fika tukaongea kwa kirefu juu ya mdogo wake, na yeye alikiri kwamba mdogo wake hakuwa mwaminifu, lakini wamekwisha mweka chini na wamemsema sana! Nikamwambia nashukuru kwa kulitambua hilo kwani hata mimi nilienda pale hostel bila taarifa kwani nilisha pata hizo habari za yeye kutoka kila ijumaa, hivyo nikamwambia mimi basi tena! Akajitahidi sana kunishawishi nibadili msimamo, lakini nikamgomea!
Leo hii, binti amewahi ofisini kwangu kuliko hata mfagia ofisi, nakuja nimemkuta amekaa nje ananisubiri, alipo niona tu akaanza kulia na kunishika miguu eti nimsamehe, nikamtimulia mbali, akaenda kwa bosi wangu (ni mama) kumwelezea kila kitu, amemwomba eti amsaidie kunisii mimi nimsamehe, eti ni marafiki zake walimdanganya, hata kaa arudie tena! Na ameomba sana hili swala mama yake asijue, eti anapressure anaweza kupata matatizo! Sasa huyu mama amesema niende ofisini kwake saa 8, na anaonekana anataka kunishawishi nisamehe, na mimi sipo tayari kusamehe, wadau ushauri wenu please!
Binti bado yupo hapa around, yupo kama amechanganyikiwa tena sana, kiukweli nimemsaidia sana yeye na familia yake kiuchumi, tangu akiwa kidato cha tano hadi sita, then first year hadi sasa yupo third year!
Nilipoangalia ID yako na signature yako nikakumbuka kile kitabu cha "Mkimbizi"... Hivi huyu mwandishi aliwahi kuandika tamthiliya nyingine?
Kaka hapo kwenye bold panaashiria kitu kama unatakiwa ukamuone daktari kwa tatizo la kutokuwa na akili ya kuchukua maamuzi sahihi. Uamuzi wa kuleta uzi kwenye forum hauendani na tukio ulilofanyiwa, ulitakiwa wewe mwenyewe uchukue uamzi sahihi kabla hata ya watu kufahamu yaliyokusibu, inatia aibu!Wadau, jana niliwaombeni ushauri juu ya binti ambaye alikuwa mchumba wangu, lakini hakuwa mwaminifu, alilala kwa mwanaume mwingine toka ijumaa hadi jumapili na baadae kuja kuomba msamaha!
Leo, nataka kuwapa feedback-kwanza ile jana dada wa binti alijitahidi mpaka akaonana na mimi japo nilijitahidi sana kujenga mazingira ya mimi kuto kukutana na yeye, alipo fika tukaongea kwa kirefu juu ya mdogo wake, na yeye alikiri kwamba mdogo wake hakuwa mwaminifu, lakini wamekwisha mweka chini na wamemsema sana! Nikamwambia nashukuru kwa kulitambua hilo kwani hata mimi nilienda pale hostel bila taarifa kwani nilisha pata hizo habari za yeye kutoka kila ijumaa, hivyo nikamwambia mimi basi tena! Akajitahidi sana kunishawishi nibadili msimamo, lakini nikamgomea!
Leo hii, binti amewahi ofisini kwangu kuliko hata mfagia ofisi, nakuja nimemkuta amekaa nje ananisubiri, alipo niona tu akaanza kulia na kunishika miguu eti nimsamehe, nikamtimulia mbali, akaenda kwa bosi wangu (ni mama) kumwelezea kila kitu, amemwomba eti amsaidie kunisii mimi nimsamehe, eti ni marafiki zake walimdanganya, hata kaa arudie tena! Na ameomba sana hili swala mama yake asijue, eti anapressure anaweza kupata matatizo! Sasa huyu mama amesema niende ofisini kwake saa 8, na anaonekana anataka kunishawishi nisamehe, na mimi sipo tayari kusamehe, wadau ushauri wenu please!
Binti bado yupo hapa around, yupo kama amechanganyikiwa tena sana, kiukweli nimemsaidia sana yeye na familia yake kiuchumi, tangu akiwa kidato cha tano hadi sita, then first year hadi sasa yupo third year!
We ushaona mtu si muanifu! achana nae, kama anakusumbua sana, mwambie matendo yake ndio yatakurudisha ila ushamsamehe! unampa 5yrs ya kumchunguza
Unavyo hivyo viwili uniazime Tigga?Aliandika, MTUHUMIWA, MDUNGUAJI!! Namtafuta saana jamaa aisee
kwa kawaida mwanamke akikulilia ujue anajua wewe ni muowaji wengine alionao ni wachezeaje? sasa ukimpa 5yrs na kweli ukawa huna nia lazima atakimbia mwnyw kama hana feelings za ukweli.Dah!hii kali 5 yrs???utakua umemuundia tume ya uchunguzi au???hii nimeipenda
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Unavyo hivyo viwili uniazime Tigga?
Nilikuwa nacho cha Mtuhumiwa ila itanibidi kutafuta maana ni muda mrefu sana
Kwa hishima na taazima mkuu, hebu kitafute maana hakuna novel iliwahi kunisisimua na kunifundisha kama ile ya "Mkimbizi"... sijui nitamtafuta wapi yule mwandishi nimuombe aandike vitabu vingi...
safi sana hii comment ina ubongo ndani yake.Wewe je haugongi nje????? kama hufanyi hivyo mpige chini ila kama ni tofauti vumilia kwani mla vya wenzie na vyake shurti viliwe ati!!!!