Mrisho Ngassa ngoma nzito West Ham United

Nafkiri sasa nyota imeng'aa Tanzania, tunakula ugali sasaa na hatulii ng'aa! Mrisho wa Ngasa ndo huyoo anaelekea kupaa! msisikitike Watanzania wenzangu mbona wao waliwezaa! je Kabumbu wapigayo Wanaija si ndiyo hiyo yetu au wao wanapaa! sema ntashindaa, sema atashinda! wote pamoja tutashindaa! tuwe na imani,juhudi na umoja na tuache mawazo ya kikindaa! Je mnajua NBA DRAFT huko Tanzania hatushikiki, ni HASHEEM THABEET au 'HESHIMA THABITI' Hakunaa!

Let's keep our fingers crossed for these two guys, however we must be realistic especially with regards to Ngassa, I have no doubts with Hasheem, but I think Ngassa is still a raw material, he needs some brush and polish before joins West Ham. If I could wear Ngasa's agent shoes, I would have taken him (Ngasa) to Belgium instead of England.
 
Hivi ile timu yetu ya vijana walio chini ya miaka 17 waliochukua kikombe kule brasil wako wapi na waendelezwa vipi? Mi kwa maoni yangu ndio walikuwa wanafaa kuelezwa ili wakue na kulitumikia taifa letu kuliko kuwaacha bila msaada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom