Mrisho Mpoto anapata tabu sana kutembea peku

goroko77

JF-Expert Member
Jul 9, 2019
8,855
12,992
Wewe fikiria utembeee mwaka mzima peku na kusafiri peku nani anaweza hilo?

Mimi najuwa ili upate kibali kuna gharama za kulipia kibali hakiji hvhivi japo Kuna bahati pia.

IMG_20240425_141054.jpg
 
Wewe fikiria utembeee mwaka mzima peku na kusafiri peku Nani anaweza Hilo


Mm najuwa ili upate kibali Kuna gharama za kulipia kibali hakiji hvhivi japo Kuna bahati pia
Huyu sio mara zote anakuwa peku. Kuna sehemu nyingi na nina shuhuda nazo amefika na viatu. Huyu ana sharti la kutovaa viatu on some days.
Kuna tajiri mmoja alikua hivi, yeye ilikua kila alhamisi lazima awe peku. Kinachomcost Mpoto mpaka anabainika kirahisi ni kwa sababu ni mtu maarufu ambaye anaitwa huku na kule ama analazimika kwenda huku na kule.
Wapo matajiri wengi hukaa peki, lakinj unakuta siku yakukaa peku anashinda dukani kwake kutwa nzima inakuwa sio rahisi kumchunguza.
 
Back
Top Bottom