Mrisho Mpoto, pumba tupu

Hakuwa kwenye TV akiongelea siasa au kuwepo pale kama mwakilishi wa CCM. Pale alikuwa akimwaga pumba zake binafsi.

Wacha uzushi.

mbona unamtetea wakat ulikuja kumponda humu ndani hahahahahaaaaa

waiteee waiteee waiteeeeeeeee
 
jina lake lingekua MOHAMMED ABDALAH,, sidhani kama ungepost haya mashudu..

Namjuwa mkristo anaitwa Abdallah, tena hata JF humu kuwa wako wanaomjuwa.

Wala majina yasikusumbuwe.
 
huyu jamaa nlimshusha thamani kuna siku nimemuona viwanja ea starehe akiwa kakikumbatia kitoto kidoooogo. kama huo ndio utamaduni basi sawa

Sasa Wewe Hutaki AGEGEDE??????
 

Sasa Kupanda Kwako Ndege ( Mbun'go ) na Mrisho Mpoto Kutembea Kwa Miguu Peku Kunahusiana Vipi? Nauliza tu na Utanisamehe Sana Kama Nitakuwa Nimekukwaza Mkuu.
 
Hayo pia kwenye picha ni maganga njaa eti yanajiita bongo muvi yaan ole wake mke wangu nimkute anaangalia cd ya haya majinga mapagaz makubwa na kusikiliza nyimbo za chege dimond dokii na wachumia tumbo wenzao ataisoma namba
 
vazi la taifa likoje kweli?. nawewe unavaaje kweli
Tanzania hatuna umuhimu wa vazi la taifa. Tuna makabila na tamaduni mbalimbali hivyo kila mtu aendelee na utamaduni wake
 
Akuteuliwa kwa mjumbe Wa katiba mkulu alimsahau jamaa anajifanya kilakitu anakijua makonde yule
 
Mwenye elimu yake ailete hapa
tusije kuwa tunahukumu STD 7
mashair ni kipaj tu,hata shilole n famous lkn..........
 
Ndio maana nilikimbilia Star TV kujiburudisha na "My mother's daughter" poleni.
 
TBC ndio kituo kiteule cha mtu yeyote anayetaka kuonhea pumba, sasa sijui mlitaka aongelee BBC kwa kupewa nafasi na nani?

Watanzania wenzangu, hekima haijengwi na ushungi ama kilemba cha Matlai Shamsi, tulizeni fikra myanene yaliyo ya busara "TAKATAKA JALALANI NDIO MAHALI PAKE"
 
naunga mkono hoja mia kwa mia .... waite... mjomba. hiyo peke yake inatutosha mengine ya kwake mwenye hata akiamua kula m..a...v...i hayatuhusu!

Ndio mkuu. Maana ka ndio tukiangalia maisha yake, basi nafikiri karibu kila msanii atakuwa kichefuchefu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…