Mrisho Mpoto, pumba tupu

Hivi lile Deal la VAZI la taifa liliishia wapi Wajameni?
MI nafikiri kwenye vazi LA taifa tuangalie Jamii moja ambayo bado inavaa mavazi yao ya asili ndo tuchukue kama vazi LA kitaifa, ukisema libuniwe hapa mengi yatafanana na ya wenzetuu
 
Anatembea Peku....!
Duh...!
 
Kuna wakati akili zako zinakaa sawa!
 
Si ajabu sasa hivi unamuelewa kwa kuwa kawa swaiba na shughuli za Mh. Samia...
 
Kila mchangiaji amemponda Mpoto. Cha ajabu ikulu inamuona Ni bonge la msanii.
 
Ikulu wana muona wa maana
Akili kubwa

Tz bana wanaopewa kipaumbele vituko vitupu

Ova
 

Faiza bhana, unamzingua Kakaako😉😉
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…