Mrisho Mpoto, pumba tupu

Mrisho Mpoto, pumba tupu

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,506
Reaction score
123,776
Natazama TBC sasa hivi, huyu aitwae Mrisho Mpoto anahojiwa, jamani sijawahi kuona mtu anaongea mambo ya kijinga kama huyu kwenye TV.

Hivi ni nani huyu Mrisho Mpoto? Yaani anasema vijana wote Tanzania wanarudi kwenye utamaduni "kwa sababu yangu mimi".

Hivi huyu anajuwa maana ya utamaduni au anajisemea tu? Tanzania hii, ujisifu kuwa eti ni "ni kwa sababu yangu tu" vijana wanarudi kwenye utamaduni?

Pumba nyingine kibao, kichefuchefu.
 
anakipaji cha kughani mashairi tu mengine ni nyang'au kama manyang'au wengine wa taifa hili
 
Kaniboa mpaka nimezima Tv,anaulizwa swali anaongea mengine hana hata mpangilio wa kujibu ni kujisifu na kuongea pumba.
 
Wakati mwingine walaumiwe wanaokaribisha wageni kwenye vipindi, japo sijaona hayo mahojiano, lakini picha ninayoipata toka kwenye maelezo yako ni kama vile huyo ndugu alitakiwa kuandaliwa chemba ili kukifanya kipindi kiwe na mvuto kwa watazamaji na wasiwepo wa kuzima TV kama ulivyofanya Kunzila
 
Anajisifu sana huyu kenge....kuna mtu niliwahi kumwambia huyu jamaa haishi uhalisia wake,yaani anataka kuish maisha fulani,mwishowe anaishia kuishi fake life....
Kuna siku nilipanda nae ndege ya kampuni ya As Salaam kwenda Zenji,anatembea peku na mashuka ya ajabu anafikiri ndio utamaduni...huyu ni mchumia tumbo kama wengine,wale wanaofuga rasta ili wapate vizee vya.kizungu...he is not cultural in deeds
 
Natazama TBC sasa hivi, huyu aitwae Mrisho Mpoto anahojiwa, jamani sijawahi kuona mtu anaongea mambo ya kijinga kama huyu kwenye TV.

Hivi ni nani huyu Mrisho Mpoto? Yaani anasema vijana wote Tanzania wanarudi kwenye utamaduni "kwa sababu yangu mimi".

Hivi huyu anajuwa maana ya utamaduni au anajisemea tu? Tanzania hii, ujisifu kuwa eti ni "ni kwa sababu yangu tu" vijana wanarudi kwenye utamaduni?

Pumba nyingine kibao, kichefuchefu.
Ni kweli ameongea. Amejitahidi sana kutrejesha utamaduni unaopotea hasa kwenye lugha na mavazi. Ninavyoangalia avatar yako naona na wewe u mkimbizi wa utamaduni hasa kwenye mavazi, umevaa UARABU wakati wewe ni Mtanzania
 
Ha ha haaaaaaaa
 
yani haeleweki anaishi karne ya ngapi nahisi bado Yuko enzi za zana mawe af nahisi ata maji mwilini kuoga nishida
 
Natazama TBC sasa hivi, huyu aitwae Mrisho Mpoto anahojiwa, jamani sijawahi kuona mtu anaongea mambo ya kijinga kama huyu kwenye TV.

Hivi ni nani huyu Mrisho Mpoto? Yaani anasema vijana wote Tanzania wanarudi kwenye utamaduni "kwa sababu yangu mimi".

Hivi huyu anajuwa maana ya utamaduni au anajisemea tu? Tanzania hii, ujisifu kuwa eti ni "ni kwa sababu yangu tu" vijana wanarudi kwenye utamaduni?

Pumba nyingine kibao, kichefuchefu.

Vipi kuhusu hawa hapa na utamaduni?
ImageUploadedByJamiiForums1394573242.174537.jpg

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Ninapendezewa na mashairi katika tungo za nyimbo zake, lakini katika kujieleza ni sifuri kabisa huwezi oanisha uzito wa mashairi yake na pumba alizokuwa anazitema! By the way alisema hana nauli ili akamweleze mjomba masahibu yetu sie wapembezoni, tulipovuna mazao na kumkabidhi nauli na posho ya njiani hajarudi huku kutupa majibu kutoka kwa mjomba, zaidi twamuona kideoni tu.
 
Ni kweli ameongea. Amejitahidi sana kutrejesha utamaduni unaopotea hasa kwenye lugha na mavazi. Ninavyoangalia avatar yako naona na wewe u mkimbizi wa utamaduni hasa kwenye mavazi, umevaa UARABU wakati wewe ni Mtanzania

Ah ah ah ustake ncheke
 
We nae wivu tu umeluzdia, kma kweli asisemee

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Bila pingamizi nafuata katiba ya Tanzania Uhuru wa kuongea...
Kiukweli napenda nyimbo zake ni nzuri zinafundisha Waite, Nikipata Nauli, Samahani Wanangu, Mtu huru.....
 
Back
Top Bottom