Mrisho mpoto mwanaharakati mahiri

KyelaBoy

JF-Expert Member
Nov 9, 2008
206
22
Ndugu zangu kwa hakika Mrisho Mpoto ni mwanaharakati wa shoka,kwa kupitia usanii Mpoto amejitokeza kati ya wanaharakati wanaoelimisha jamii kwa kupitia sanaa ya muziki.Uimbaji wa kingonjera wa Mpoto hauna mfano hapa TZ,mashairi ya Mpoto yanajipambanua na harakati za maisha ya wanyonge,ama kweli si lazima uwe mwanasheria au msomi kuweza kutetea wanyonge,Mpoto kaonyesha njia kwa kupitia sanaa yake.
Big up kijana Mpoto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom