Mrisho Mpoto awaambia viongozi " watch out." Je, hiyo siyo lugha ya uchochezi na MATUSI?

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,441
55,018
..Sikiliza mpaka mwisho clip ya Mrisho Mpoto ktk msiba wa Mzee Kingunge.

..Amehitimisha hotuba yake kwa kuwaambia viongozi, " WATCH OUT."!!

..Je, hotuba nzima na maudhui yake haikuwa ni UCHOCHEZI na UDHALILISHAJI wa viongozi wetu?

..Kuwaambia viongozi "watch out" siyo kuwatishia na uchochezi?


 
Back
Top Bottom