Mrisho Mpoto ana cheo gani Serikalini?

Mrisho Mpoto ana cheo gani Serikalini?

Chawa wa eagle wing aliingizwa na jakaya baada ya kumuita mjomba alipewa mafunzo ya uchawa kwenye shule ya watoto watukutu; ni aina moja ya wanaigo waliojificha kwenye tasnia ya sanaa kama mwana fa.
mwana fa??
 
ana pigania katiba mpya na maslahi ya wasanii wa muziki... ila sio msemaji wao...
 
Chawa wa eagle wing aliingizwa na jakaya baada ya kumuita mjomba alipewa mafunzo ya uchawa kwenye shule ya watoto watukutu; ni aina moja ya wanaigo waliojificha kwenye tasnia ya sanaa kama mwana fa.
Mwana Fa kumbe nae ni mwanaigo mtiifu
 
Huyu mtu yupo kwenye matukio mengi ya kitaifa na kampeni mbalimbali kama sensa anazunguka nchi nzima kuhamasisha watu kuhesabiwa, leo meimosi yupo Dodoma na ana special kwaya.
Kampeni nyingi anashirikishwa.

Mi sina wivu nae bali kwa ujinga wangu naomba kuelemishwa huyu jamaa ana ubia gani na Serikali?

Nasubiri maoni
Mtoa habari za kiintelijensia huyo
 
Huyu mtu yupo kwenye matukio mengi ya kitaifa na kampeni mbalimbali kama sensa anazunguka nchi nzima kuhamasisha watu kuhesabiwa, leo meimosi yupo Dodoma na ana special kwaya.
Kampeni nyingi anashirikishwa.

Mi sina wivu nae bali kwa ujinga wangu naomba kuelemishwa huyu jamaa ana ubia gani na Serikali?

Nasubiri maoni
Ni kama joti na tigo. Serikali imependa aina ya uimbaji wake
 
Huyu mtu yupo kwenye matukio mengi ya kitaifa na kampeni mbalimbali kama sensa anazunguka nchi nzima kuhamasisha watu kuhesabiwa, leo meimosi yupo Dodoma na ana special kwaya.
Kampeni nyingi anashirikishwa.

Mi sina wivu nae bali kwa ujinga wangu naomba kuelemishwa huyu jamaa ana ubia gani na Serikali?

Nasubiri maoni
Gagula wa CCM.
 
Chawa wa eagle wing aliingizwa na jakaya baada ya kumuita mjomba alipewa mafunzo ya uchawa kwenye shule ya watoto watukutu; ni aina moja ya wanaigo waliojificha kwenye tasnia ya sanaa kama mwana fa.
Mkuu inaonekana unajua mengi sana.
 
Chawa wa eagle wing aliingizwa na jakaya baada ya kumuita mjomba alipewa mafunzo ya uchawa kwenye shule ya watoto watukutu; ni aina moja ya wanaigo waliojificha kwenye tasnia ya sanaa kama mwana fa.
We' huogopi mkuu? Mpaka mwana f.......a? Duuuh sijui atapona nani?
 
😂😂🤣🤣😅😅😅😆😆😆😁😁😄😄😄😄😃😃😃😃😃
 
Punguza wivu, huyo yupo kazini kupitia sanaa yake.

Connection yake awamu ya sita nyota ipo kwake, tupunguze wivu wa kijinga hawana pensheni hao, wakipewa nafasi wacha wameki money.

Mbona huulizi Mzee Mavunde na Shabani Kisu kila siku mc ni wao tu?
Mzee Mavunde alipotea awamu ya 5, naona amerudi sasa.
 
Back
Top Bottom