Mrisho Mpoto ana cheo gani Serikalini?

Mrisho Mpoto ana cheo gani Serikalini?

Punguza wivu, huyo yupo kazini kupitia sanaa yake.

Connection yake awamu ya sita nyota ipo kwake, tupunguze wivu wa kijinga hawana pensheni hao, wakipewa nafasi wacha wameki money.

Mbona huulizi Mzee Mavunde na Shabani Kisu kila siku mc ni wao tu?
Mzee Mavunde Makumbusho, Mbweni, St Peter Xyz*#+&%"*fgykazxxfe. Mzena.
Hata sijui naongea nini?
 
Huyo jamaa anajua kulitumia jukwaa na kufikisha ujumbe sahihi,kwa lugha sahihi na kwa wakati sahihi.
Kweli kabisa. Kuna wasanii wakiitwa kwenye shughuli za serikali au chama wanaimba nyimbo zao za ovyo. Mfano Zuchu alipoalikwa na CCM Dodoma. Rais anashangaa msanii anaimba "Mwambieni mwambieni mali zake zishaliwa". Kuna Mrisho Mpoto na Kwaya ya chuo cha utumishi wa umma wacha waendelee kula hela za serikali.
 
Huyu mtu yupo kwenye matukio mengi ya kitaifa na kampeni mbalimbali kama sensa anazunguka nchi nzima kuhamasisha watu kuhesabiwa, leo meimosi yupo Dodoma na ana special kwaya.
Kampeni nyingi anashirikishwa.

Mi sina wivu nae bali kwa ujinga wangu naomba kuelemishwa huyu jamaa ana ubia gani na Serikali?

Nasubiri maoni
Ungeanza na swali kwa nini havai viatu majibu yake yangekufungulia njia kwa haraka kwa nini ni yeye tu na sio mtu mwingine. Ila muache mjomba apambanie tonge mjini akili matumizi ya nguvu peleka kijijini.
 
Huyu mtu yupo kwenye matukio mengi ya kitaifa na kampeni mbalimbali kama sensa anazunguka nchi nzima kuhamasisha watu kuhesabiwa, leo meimosi yupo Dodoma na ana special kwaya.
Kampeni nyingi anashirikishwa.

Mi sina wivu nae bali kwa ujinga wangu naomba kuelemishwa huyu jamaa ana ubia gani na Serikali?

Nasubiri maoni
"Anakula kwa kipaji"
Hongera mdogo wangu.
Mwanafunzi wa msimbazi mseto!,alikuwa Mtoro shuleni balaa,kumbe fungu lake lilikuwa upande wa pili,Hongera zake.
 
Huyu mtu yupo kwenye matukio mengi ya kitaifa na kampeni mbalimbali kama sensa anazunguka nchi nzima kuhamasisha watu kuhesabiwa, leo meimosi yupo Dodoma na ana special kwaya.
Kampeni nyingi anashirikishwa.

Mi sina wivu nae bali kwa ujinga wangu naomba kuelemishwa huyu jamaa ana ubia gani na Serikali?

Nasubiri maoni
NCHI HII INA VYEO VINGI SANA NDIO MAANA MREMA ALIPEWA UNAIBU WAZIRI CHEO AMBACHO HAKIPO KIKATIBA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Ukiona kijana wa CCM kapewa cheo kikubwa serikalini ukifuatilia vizuri utakuta kuna Ancestor ambae ni kigogo. Hata huyu kijana wa TAMISEMI sijui ancestor wake ni nani?
Hilo nalifahamu, hata mdogo wake na huyu naibu waziri kamuingiza kitengo yupo Dodoma mjini.
 
wewe una cheo gani mzee? Au ni chawa tu wa CCM?
Wewe unawashwa, sijawahi kuipiga kura ccm tangu nizaliwe.

Ila tutapambana na nyinyi wapumbavu wote wa yule shetani mwendakuzimu ambaye mnamshambulia mama aliyetuletea uhuru wetu wa pili.
 
Back
Top Bottom