Mrisho Mpoto ana cheo gani Serikalini?

Mrisho Mpoto ana cheo gani Serikalini?

Chawa wa eagle wing aliingizwa na jakaya baada ya kumuita mjomba alipewa mafunzo ya uchawa kwenye shule ya watoto watukutu; ni aina moja ya wanaigo waliojificha kwenye tasnia ya sanaa kama mwana fa.
Sijaelewa Mwana FA nae Kitengo
 
Huyu mtu yupo kwenye matukio mengi ya kitaifa na kampeni mbalimbali kama sensa anazunguka nchi nzima kuhamasisha watu kuhesabiwa, leo meimosi yupo Dodoma na ana special kwaya.
Kampeni nyingi anashirikishwa.

Mi sina wivu nae bali kwa ujinga wangu naomba kuelemishwa huyu jamaa ana ubia gani na Serikali?

Nasubiri maoni
Ndiye Yohana Komba wa sasa
 
Wanampa pande wakimuacha anawacha. Si unakumbuka... Oooh Mara hivi Mara vilee wapiiii
 
Huyu mtu yupo kwenye matukio mengi ya kitaifa na kampeni mbalimbali kama sensa anazunguka nchi nzima kuhamasisha watu kuhesabiwa, leo meimosi yupo Dodoma na ana special kwaya.
Kampeni nyingi anashirikishwa.

Mi sina wivu nae bali kwa ujinga wangu naomba kuelemishwa huyu jamaa ana ubia gani na Serikali?

Nasubiri maoni

Hapo Hapo Pa Sina wivu ndo point of departure na point of arrival ya andiko lako.
 
Huyu mtu yupo kwenye matukio mengi ya kitaifa na kampeni mbalimbali kama sensa anazunguka nchi nzima kuhamasisha watu kuhesabiwa, leo meimosi yupo Dodoma na ana special kwaya.
Kampeni nyingi anashirikishwa.

Mi sina wivu nae bali kwa ujinga wangu naomba kuelemishwa huyu jamaa ana ubia gani na Serikali?

Nasubiri maoni
Balozi
 
Master mind

Ana uwezo wa kuzungumza na mtu yeyote na akamuelewa na akapata jambo analolitaka

Mkubwa lakini ana ukarimu kama kijana mdogo

Mda wote anaacti kama hana chochote na msikivu na muelevu pia

Sio mlalamikaji anaonyesha njia badala ya kulalamika

Mtendaji pia akipewa kazi anaifanya kwa mda husika

Na mda wote yupo peku alafu nyie mmevaa viatu ukikaa nae lazima nafsi yako itajihisi imemzidi kitu kumbe haumfikii hata nucta

Kwa nini? Sasa asipendwe mtu wa hivyo
 
Master mind

Ana uwezo wa kuzungumza na mtu yeyote na akamuelewa na akapata jambo analolotaka

Mkubwa lakini ana ukarimu kama kijana mdogo

Mda wote anaacti kama hana chochote na msikivu na muelevu pia

Sio mlalamikaji anaonyesha njia badala ya kulalamika

Mtendaji pia akipewa kazi anaifanya kwa mda husika

Na mda wote yupo peku alafu nyie mmevaa viatu ukikaa nae lazima nafsi yako itajihisi imemzidi kitu kumbe haumfikii hata nucta

Kwa nini? Sasa asipendwe mtu wa hivyo
We sio mrisho mpoto kweli?
 
Huyu mtu yupo kwenye matukio mengi ya kitaifa na kampeni mbalimbali kama sensa anazunguka nchi nzima kuhamasisha watu kuhesabiwa, leo meimosi yupo Dodoma na ana special kwaya.
Kampeni nyingi anashirikishwa.

Mi sina wivu nae bali kwa ujinga wangu naomba kuelemishwa huyu jamaa ana ubia gani na Serikali?

Nasubiri maoni
Nji imefunguliwa na Wajuba Wanalamba Asali

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom