Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

ameweka hadhira kwa maan mtambue kuwa tanzania kuna watu wa aina gan kwa yeye anakosa gan alaf issue kama hz ambazo znatokeaga kila mtu anakuwa na mtazamo wake nyie nao angalien leo siku ya ngap tang msiba utokee na wangap wanajua eti diamond pekee asitambue hivi hlo ni beef la aina gan mtu unamuwekea kinyongo had umaut wake jaman
 
Kila aliyeguswa na mchango wa Ruge kwenye jamii yetu ataenda msibani kwa muda wake au kwa kutoa pole kama yuko mbali.

Acheni Ruge azikwe ,wanafiki hawakosi kwenye jamii yoyote.. Kwenda au kutokwenda hakuondoi mazuri au mabaya aliyofanya marehemu.

Ni desturi ya dunia nzima marehemu kuzikwa na watu.. Usipokuja kuzika wewe, mwingine atakuja na hakuna msiba usio na watu.

Waliopo ni watu na watazidi kuongezeka.. Tusipoteze muda kwa kuhoji mtu mmoja wakati waliofika ni zaidi yake na yeye sio mtoto wa RUGE hata asipokanyaga kabisa hakuna sheria ya kumfunga.

R.IP RUGE
 
Wasafi artists strolling in with their bodyguards and cameras 4 hours late so we can all see them as if this is not a funeral is very distasteful.Shame

Cc : kapeace
 
Back
Top Bottom