Hata wewe wakupuuzwaMtapuuza vitu vingapi?
Hata wewe wakupuuzwaMtapuuza vitu vingapi?
Sawa Mpuuzi.Hata wewe wakupuuzwa
ile kutaja neno 'muislam' hoja yako nikaitupia motoni iteketee. Una udini mbaya sana. Wale rais yeyote hata kama ni mkatoliki mwenzao wanamlima waraka tu, muachage chuki na kujihisi mnaonewa kwa kuwa ni waislam. Mkatoliki mwenzao magufuli ilikuwa ni suala la muda tu ufike wangemlima waraka kutokana na regime yakeKitima alostahili kudhihakiwa.
1. Anaendeleza mfumo wa wakatoliki kujiona wao ni raia daraja la kwanza.
2. Anaendeleza ushenzi wao wa kuzusha,kukejeli na kumpiga vita raisi yeyote aliyepo madarakani,ilimradi ni muislamu.
3. Kujiona wao wakatoliki wanaelimu na wajuaji kuliko wengine wote. Wakati ukweli wamesonga ila hawakuelimika.
Hayo yote yamepelekea kuwa na kiburi,dharau na majivuno
Yuko wapi Masanja mkandamizaji? Hawa Mbwa Huwa hawajifunziMsanii asiye na Kipaji , Mrisho Mpoto , amelaumiwa na watu wote kwa kutoa maneno ya kejeli dhidi ya Padri Kitima ambaye pia ni Katibu wa TEC.
Kukejeliwa kwa Padri Kitima kumetokana na kuonekana kwake kwenye hafla ya kusaini mkataba haramu wa Bandari kati ya Tanzania na DP WORLD ya Dubai .
Kauli chafu za Mpagani Mrisho Mpoto alizozitoa hadharani hapo hapo ikulu mbele ya Rais hizi hapa
View attachment 2794949
Ikumbukwe kwamba Kitima aliitwa Ikulu kwa njia ya kitapeli ili kumuingiza mkenge , Mwaliko wake huu hapa .
View attachment 2794950
Bali kitu ambacho Mrisho Mpoto anapaswa kukielewa ni hiki , Mungu hadhihakiwi , leo anatembea Peku ili awafurahishe wanaomlipa , Lakini kesho aweza kutembelea magoti bila kulipwa .
Ndio zangu hizi.Sehemu ukivunjiwa heshima unatakiwa kusimama na kuondoka muda huohuo haijalishi alie mbele yako ni nani
Pengine usichokijua wewe ni kuwa mwenzio (huyo msanii), usanii wake huo umekwisha mpaisha chati kwa watu wanaothamini usanii wa namna hiyo., Mungu hadhihakiwi , leo anatembea Peku ili awafurahishe wanaomlipa , Lakini kesho aweza kutembelea magoti bila kulipwa .
Sio kweli Huo sio utu uzima Kitime sio mtu wa Kaliba hiyo ameshehena Elimu ya Sheria, Theology, Phylosoohy.Utulivu, ustamilivu wake umemjengea Heshma Mbele ya Umma wa watanzania Ameweza kufuta Kejeli zote dharau na Ameuonyeshea Umma KUWA Alichoitiwa sicho alichokikuta, waswahili wanasema Kubali wito kataa kutumwa. waliomualika na waliandaliwa kumkejeli hawana namna ya kujitetea au hata wakijitetea hawataelewekaSehemu ukivunjiwa heshima unatakiwa kusimama na kuondoka muda huohuo haijalishi alie mbele yako ni nani
Unajionyesha kiasi cha upumbavu tu ulio nao, hakuna zaidi ya hapo.Sehemu ukivunjiwa heshima unatakiwa kusimama na kuondoka muda huohuo haijalishi alie mbele yako ni nani
rejea civid 19,kauli za kitima kwa JPMMpoki was very right. Kitima ni binadamu tu na ana madhaiifu yoteeee. Wakristu walikuwa na malengo yao.
Je marehemu angekuwa hai wangempinga kama walivyojaribu mama
Wakati wa JPM mwishoni mwa uhai wake walimlima suala la COVID 19 na ni mkatoliki.Sina ninachowaogopa. Ila nachukia sana tabia zao hizo.
Wakati wa Mwinyi walimwandikia barua 14 za kichungaji kumuonya na kumkosoa. Kila biashara au jengo kubwa wakatudanganya ni Mali ya Mwinyi kupitia mkewe M. Sity.
Wakati wa Mkapa hatukuyasikia hayo. Pamoja na kuuza mashirika ya uma Kwa bei ya kutupa. Rejea machimbo ya makaa ya mawe Kiwira.
Sababu..
Alikuwa mkatoliki mwenzao.
Alipokuja Kikwete yakajirudia. Akaimbwa Ridh-wani. Na chadema wakaicheza ngoma ya wakatoliki. Wakapata sababu ya kutukana waislamu na uislamu. Hadi Leo yule mpuuzi wa chadema anadai anakula kiti moto na mashekh. Hizi ni dharau na kejeli walizorithi kutoka Kwa wakatoliki.
Alipokuja Magu tukaona unafiki wa maaskofu wa kikatoliki. Wakaimba Kila aina ya mapambio ya sifa.
Amekuja Samia wamerudia kutufanya wajinga. Kutaka kuonesha raisi akiwa muislamu hafanyi lolote zaidi ya ufisadi. Watawadanganya kondoo wao. Sio sisi.
Na huu upuuzi haujui tuu ni kiasi gani unaumiza na kujaza hasira vifuani mwetu. Ipo siku tutaheshimiana. Baada ya kupigana wenyewe Kwa wenyewe ndipo mtajua thamani ya amani na ubaya wa upuuzi wa chokochoko kama hizo
Mrisho Mpoto ni mpumbavu anayetumia tumbo kufikiri. Halina uzalendo kabisa kwa nchi. Linachoangalia ni maslahi ya lenyewe tu.Msanii asiye na Kipaji , Mrisho Mpoto , amelaumiwa na watu wote kwa kutoa maneno ya kejeli dhidi ya Padri Kitima ambaye pia ni Katibu wa TEC.
Kukejeliwa kwa Padri Kitima kumetokana na kuonekana kwake kwenye hafla ya kusaini mkataba haramu wa Bandari kati ya Tanzania na DP WORLD ya Dubai .
Kauli chafu za Mpagani Mrisho Mpoto alizozitoa hadharani hapo hapo ikulu mbele ya Rais hizi hapa
View attachment 2794949
Ikumbukwe kwamba Kitima aliitwa Ikulu kwa njia ya kitapeli ili kumuingiza mkenge , Mwaliko wake huu hapa .
View attachment 2794950
Bali kitu ambacho Mrisho Mpoto anapaswa kukielewa ni hiki , Mungu hadhihakiwi , leo anatembea Peku ili awafurahishe wanaomlipa , Lakini kesho aweza kutembelea magoti bila kulipwa .
Ameishalamba asali...!GENTAMYCINE njoo....
Hii ya former VC imekaaje?
Bali kitu ambacho Mrisho Mpoto anapaswa kukielewa ni hiki , Mungu hadhihakiwi , leo anatembea Peku ili awafurahishe wanaomlipa , Lakini kesho aweza kutembelea magoti bila kulipwa .Msanii asiye na Kipaji , Mrisho Mpoto , amelaumiwa na watu wote kwa kutoa maneno ya kejeli dhidi ya Padri Kitima ambaye pia ni Katibu wa TEC.
Kukejeliwa kwa Padri Kitima kumetokana na kuonekana kwake kwenye hafla ya kusaini mkataba haramu wa Bandari kati ya Tanzania na DP WORLD ya Dubai .
Kauli chafu za Mpagani Mrisho Mpoto alizozitoa hadharani hapo hapo ikulu mbele ya Rais hizi hapa
View attachment 2794949
Ikumbukwe kwamba Kitima aliitwa Ikulu kwa njia ya kitapeli ili kumuingiza mkenge , Mwaliko wake huu hapa .
View attachment 2794950
Bali kitu ambacho Mrisho Mpoto anapaswa kukielewa ni hiki , Mungu hadhihakiwi , leo anatembea Peku ili awafurahishe wanaomlipa , Lakini kesho aweza kutembelea magoti bila kulipwa .
Hapana hekima zaidi ni kuonesha ukomavu kwa kubaki na kutafakari hatua ifuatayoSehemu ukivunjiwa heshima unatakiwa kusimama na kuondoka muda huohuo haijalishi alie mbele yako ni nani
HAKUKUWA NA MADHARA TEC KUKUBALI MWALIKO WA IKULU USIOKUWA NA AGENDA!Padiri Kitima naamini anaishi Dar, sasa lazima alipata mwaliko mapema, halafu kasafiri from Dar to Dodoma kwa ndege saa moja hivi na kwa gari ni kama Km 470 bado hajui anaitiwa nini? Labda yeye ndo alishauri mwaliko uwe hivo ili TEC iendelee kuheshimiwa na kutoonekana walibugi kiharakati?
Hujui kitu.ile kutaja neno 'muislam' hoja yako nikaitupia motoni iteketee. Una udini mbaya sana. Wale rais yeyote hata kama ni mkatoliki mwenzao wanamlima waraka tu, muachage chuki na kujihisi mnaonewa kwa kuwa ni waislam. Mkatoliki mwenzao magufuli ilikuwa ni suala la muda tu ufike wangemlima waraka kutokana na regime yake