Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 119,314
- 222,432
- Thread starter
- #81
Weeeee ! sema Thuuuu !!Ata kwa kiswahili ni ivo ivo.
Weeeee ! sema Thuuuu !!Ata kwa kiswahili ni ivo ivo.
kabila gani hilo ?
Sina ninachowaogopa. Ila nachukia sana tabia zao hizo.Wewe unawaogopa wakatoliki
Ahsante kwa taarifa yako, tutaifanyia kazi.Kwanini andiko langu unaliita ni la Chadema ?
Ahsante kwa taarifa yako, ukiifanyia kazi tujuze.Majitu Kama Mrisho Mpoto ni ya kulimwa risasi. Very stupid
Alikuwa hana raha kabisaNdio maana mzee wa watu alikuwa ameinama na kushika kichwa kama mtu ambaye hakuridhika na tukio lile
Halafu wanashindwa kuelewa kuwa hata kama ni chaka ,chaka kenyewe linatoka Kwa amiri jeshi .ndo maan yanayoganywa na hiyo ofisi ni unthinkableMungu ana njia njema zaidi.Angeondoka kwa ghafla ingetafsiriwa vinginevyo.Afadhali aliendelea kuwepo na tumeyajua hadi ya uandishi wa kadi ya mwaliko wa hafla.
cc: walimu wote kuanzia darasa la tatu wapewe sampuli ya kadi kwa ufundishaji mahiri zaidi.
Eti Mungu hadhihakiwi. Kwa hiyo huyo kitima ndiye Mungu wako ambaye akidhihakiwa unalialia.Msanii asiye na Kipaji , Mrisho Mpoto , amelaumiwa na watu wote kwa kutoa maneno ya kejeli dhidi ya Padri Kitima ambaye pia ni Katibu wa TEC.
Kukejeliwa kwa Padri Kitima kumetokana na kuonekana kwake kwenye hafla ya kusaini mkataba haramu wa Bandari kati ya Tanzania na DP WORLD ya Dubai .
Kauli chafu za Mpagani Mrisho Mpoto alizozitoa hadharani hapo hapo ikulu mbele ya Rais hizi hapa
View attachment 2794949
Ikumbukwe kwamba Kitima aliitwa Ikulu kwa njia ya kitapeli ili kumuingiza mkenge , Mwaliko wake huu hapa .
View attachment 2794950
Bali kitu ambacho Mrisho Mpoto anapaswa kukielewa ni hiki , Mungu hadhihakiwi , leo anatembea Peku ili awafurahishe wanaomlipa , Lakini kesho aweza kutembelea magoti bila kulipwa .
Endelea na kejeli zako utembelee magotiEti Mungu hadhihakiwi. Kwa hiyo huyo kitima ndiye Mungu wako ambaye akidhihakiwa unalialia.
Hukoni kuionyesha ukiburiSehemu ukivunjiwa heshima unatakiwa kusimama na kuondoka muda huohuo haijalishi alie mbele yako ni nani
Kwa taarifa yako Mungu alituumba binadamu Kwa mfano wake tuje tuitawale Dunia hivyo Adamu alikuwa Mungu dunianiEti Mungu hadhihakiwi. Kwa hiyo huyo kitima ndiye Mungu wako ambaye akidhihakiwa unalialia.
Ata kwa kiswahili ni ivo ivo.
Mtapuuza vitu vingapi?Huyo ni wa kumpuuza tu.