Nimekuwa nikimfuatilia Mhe. RC Mrisho Gambo kwa muda mrefu juu ya utendaji wake wa kazi, nimejiridhisha kuwa ni kijana mchapakazi, mnyenyekevu, anayejali wananchi, hajikwezi, anafuata sheria za nchi ipasavyo.
Ukiona juzi alivyotoa maelekezo kwa mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kuhusu mkandarasi aliyeharibu kazi ya barabara utakubaliana na mimi kuwa ni kiongozi bora.
Tuendelee kumuunga mkono aendelee kuchapa kazi bila kuumiza watu kama anavyofanya.