Mrisho Gambo ajitolea Mifuko 100 kwa Kanisa la TAG Arusha

Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Tawala CCM leo amekabidhi mifuko 100 kwa Kanisa la TAG Kata ya Olmot Arusha

Hongera Gambo kwa kuwa mfano wa kuigwa na kuamua kujiwekea hazina mbinguni

View attachment 1913000

View attachment 1913001
Mungu siyo kama mwanadamu, ukifanya kitu kwa ajili inatakiwa iwe siri yako na Mungu wako, unapojitangaza kuwa nimefanya hivi kwa ajili ya Mungu unajifutia thawabu yako kwa Mungu kwa kuwa tayari umeshapata thawabu tayari kutoka kwa wale wanaokusifia kwa kufanya ulichokifanya.
 
Mkuu Mokaze, FaizaFoxy black sniper n.k huyu Mrisho gambo alichokifanya ni sahihi ilihali yeye ni Muisilamu??

Kusaidia Kujenga nyumba ambamo ibada ya kumuabudu Mungu itafanyika hapo sio kosa kwani nyumba hiyo huitwa nyumba ya Mungu hivyo tunaweza kusema huyo ndugu kachangia katika ujenzi wa nyumba ya Mungu na Mungu ndiye atakayemlipa hata kama watu watakaoingia katika hiyo nyumba na wasifanye ibada ya Mungu bado Mungu atamlipa huyo mtu kutokana na nia yake ya kujenga nyumba ya Mungu.

Katika nyumba za ibada ambamo jina la Allah Mungu/BWANA hutajwa kwa wingi ni pamoja na Kanisani tupilia mbali ambapo wakati fulani Yesu huwa anaabudiwa kimakakosa hayo ni mapungufu ya kiimani ambayo muumini atahukumiwa kama yeye na hiyo haina mahusiano na Kanisa kama nyumba ya Mungu. Juu ya yote waanzilishi wa dini za kweli wamekuja kufundisha juu ya kumuabudu Mungu mmoja.

Angalia aya hii ya Qur'an tukufu 22:40, jinsi Mungu anavyosema juu ya Sinagogi, Kanisa na misikiti;

Screenshot_20210828-200525.png
 
View attachment 1913331

Shukurani kaka,, Mwenyezi Mungu akulipe kila la heri.
 
Back
Top Bottom