Nadhani wengi hamkumtendea haki.mtoto yuko kienyeji kidogo(natural)kama kuna cream ni kidogo sana,ana macho mazuri ,ana mguu wa chupa ya serengeti,mrefu wastni,kijungu cha kupakata.sasa nyie wekeni dada au vidosho wenu tuwapambanishendo mtoe hizo marks zenu