Mrembo wa ukweli

Mrembo wa ukweli

ntabadilika nakuwa mbogo.... Halafu utakuta anakufuata kukuuliza ofisi au kijiwen... Jaman namtafuta mpenzi wangu flan,, loh!

Acha kabisa, ishamtokeaga mtu namfahamu, yaani dem alikuwa anamfuata hadi ofisi ilifika wakati tukamdanganya amesafiri kaenda nje ya nchi na anakaa miaka 7 ndio akakata tamaa, unaetaka akung'ang'anie ndio hata habari hana, ila yule usiemtaka ndio lazima ukome nae.
 
Hapo ni nduki kama bado hajakuona then unasema umepata dharura.

sasa ndo ukute huko mahali unamuagizia kona uliyokaa na nguo ulizovaa mbona utacheza kombolela bila kujua
 
Yamewahi kunikuta nikiwa udsm. Mbona nilijafanya simju kabisa....pita mbali asije akaniuliza kama na mfahamu Mr. Mtali
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom