Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
hapo ndio kama ulikuwa unawasiliana naye bila kumfaham ukimuona kwa mbali tu lazma uingie mitini
Umeona madhara ya online dating?????
Alafu unakuta anakuganda kama luba.
Katika enzi hizi za wozap unaendaje kuonana na mtu hata picha tu hujamuona?
utakuta mmoja kasingizia hana wazap,
Kama namfahamu vile! msalimie.
wee! Kwanza hawezi hata kuniona naingia mitin atashtuka tu namba haipatikani na ikipatikana basi haipokelewi
Ha ha ha ha ha ha ha ha Apologise lady we mtoto umeifanya siku yangu kuwa yakucheka
ha ha ha, nitajisalimia hahaa!! upo wew? mmh!!! nimekumisije!!!!
wew wa2 wa aina hii ni hatar kwa kumark. utashangaa tu anakushika shati, ''kaka ndio mim jaman'' uuwiiii
mtoto mzuri sana huyo tena ameumbika kama ningekutana naye mie ingekuwa bomba sana