J JosephMPATIRA Member Sep 18, 2011 10 1 Sep 18, 2011 #1 Naitwa joseph natafuta msichana aliye umbika yeyote aliye tayari adisplay sifa zake
kingazi Member Jul 4, 2011 35 7 Sep 18, 2011 #2 fafanua mkuu unatafuta msichana wa kazi, wa kuoa au kuchakachua.
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Apr 22, 2011 10,707 5,674 Sep 18, 2011 #3 kingazi said: fafanua mkuu unatafuta msichana wa kazi, wa kuoa au kuchakachua. Click to expand... Labda wakwenda nae kwenye fashion show!
kingazi said: fafanua mkuu unatafuta msichana wa kazi, wa kuoa au kuchakachua. Click to expand... Labda wakwenda nae kwenye fashion show!
mikatabafeki JF-Expert Member Dec 29, 2010 12,772 4,642 Sep 18, 2011 #4 alieumbika kivip???hbu fafanua
Perry JF-Expert Member Feb 24, 2011 10,043 2,000 Sep 18, 2011 #5 We unataka msichana wa kumpeleka wap mkuu?
Vin Diesel JF-Expert Member Mar 1, 2011 9,088 6,368 Sep 18, 2011 #6 Alieumbika kama malaika...chukua vina hivyo
King’asti Platinum Member Nov 26, 2009 27,823 24,786 Sep 19, 2011 #10 kuumbika is a very relative term. ungekua specific kwa walau ranges za viungo mbalimbali
U uporoto01 JF-Expert Member May 23, 2008 4,700 1,415 Sep 19, 2011 #11 JosephMPATIRA said: Naitwa joseph natafuta msichana aliye umbika yeyote aliye tayari adisplay sifa zake Click to expand... Kama umetumwa mabinti wa kitanzania wa kuwapeleka Ulaya kwa oda sema tu.
JosephMPATIRA said: Naitwa joseph natafuta msichana aliye umbika yeyote aliye tayari adisplay sifa zake Click to expand... Kama umetumwa mabinti wa kitanzania wa kuwapeleka Ulaya kwa oda sema tu.
Mtalingolo JF-Expert Member Aug 4, 2011 2,181 409 Sep 19, 2011 #12 Unaeza kuta wemwenyewe mbaya kama nini,