wadau...mlimuona huyu dada jinsi alivyozomewa baada ya kuanza kumkampenia jk..siku ya shindano la miss tanzania...!
I think angekuwa na akili angeweza kuibuka hata na taji lile ila kilichomponza ni kutosoma alama za nyakati...!
Soma zaidi..
ni genevive mpangala