Mrembo na Kampeni kwa JK...!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mrembo na Kampeni kwa JK...!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by jambo1, Sep 14, 2010.

 1. jambo1

  jambo1 JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2010
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wadau...Mlimuona huyu dada jinsi Alivyozomewa baada ya kuanza kumkampenia JK..siku ya Shindano la Miss Tanzania...!
  I think angekuwa na Akili angeweza kuibuka hata na Taji lile ila kilichomponza ni kutosoma alama za nyakati...!
  Soma zaidi..
  Ni Genevive Mpangala
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,812
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  hee ndo akaome na kihere here chake hata JK mwenyewe hamjui, imekula kwake huyo
   
 3. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,035
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  una uhakika gani? jamaa ni kiboko ati au umesahau?
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Kuna member mmoja hapa ndani jana alinichekesha aliposema kwamba hata majaji walithibitisha kwamba hawaipendi kabisa ccm baada ya kumtupilia mbali mrembo huyo!
   
 5. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,523
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Yaliyotokea pale ni kuwa mrembo alikuwa anajua kuwa akimtaja JK basi anachukua taji bila kujua kuwa watu wamechoka na CCM ya huyo huyo JK.Natumai JK amchukue kwenye msafara wake amsaidie kupiga kampeni
   
 6. R

  Ramos JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni mrembo yupi huyo?
   
 7. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 9,620
  Likes Received: 2,961
  Trophy Points: 280
  Atampa u DC ili iwe rahisi KUMUONA, tehe tehe tehe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 8. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,710
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Anaweza kuteuliwa kachukua nafasi ya januari makamba :becky::becky::becky::becky::becky:
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,055
  Trophy Points: 280
  Angepewa taji la miss zuzumagic..
  Lingemfariji na kumpa picha halisi kuwa yeye ni nani na anastahili nini.
   
 10. jambo1

  jambo1 JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2010
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 11. n

  nmaduhu Member

  #11
  Sep 14, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mwenye namba yake ya simu naomba anitumie..
   
 12. r

  ratzinger Member

  #12
  Sep 14, 2010
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  sisi mtaani ukitaja kikwete unweza temewa mate
   
 13. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,036
  Likes Received: 975
  Trophy Points: 280
  makamba angekuwa jaji ungesikia nimeyatupilia mbali mayowe ya watanzania narudia tena ninayatupilia mbali mayowe kwa maana hayana msingi
   
 14. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #14
  Sep 15, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ha ha ha,

  Akome kiherehere la sivyo atapata mimba na kisha kulazimika kwenda shule matiti yakichuruzika maziwa
   
 15. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #15
  Sep 16, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mkuu, you never know. Aisifiaye mvua huenda imemnyea, maana siku hizi mambo ya kusafisha fimbo na vimwana wa VODA ndo fasheni....muulize waziri wa nanii ...wa naniii au Iskarioti.
   
 16. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #16
  Sep 16, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,433
  Likes Received: 1,738
  Trophy Points: 280
  JK akishinda atakuwa DC wa Ilala!
   
Loading...