nasikia hata huko Italy kwenyewe ni kama 3% tu ya wakazi wanakwenda kanisani.
dini zimehamia huku kwetu uswahilini nadhani huko ulaya hata kurecruit padri ni shida, Kuna kipindi itabidi wawe wanawatoa huku afrika.
Kwa uhaba wa waumini makanisani ulaya, akija hata na bikini inabidi utafute jinsi ya kumuelekeza kwa Mungu na bikini yake ili usimpoteze kabisa.