SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,076
- 13,953
Vijana wa mikoani bwana! Yaani bia zote na mbwembwe kibao papuchi umekosa! Eti upako [emoji23][emoji23]
Unaanzaje kumhudumia mtu kiasi hicho bila kujihakikishia kuwa atatoa mzigo.
Dah! Ametuaibisha kabisa mabaharia na wanaume wa mikoani aisee!Ase mimi niliwaona mlipo kuwa mmekaa Mwanaume mweupe ulikosea kuanza kuhudumia kabla haujawa na uhakika wa kupata "papuchi" Jifunze next time kuwa na na uhakika kama utafokoa ndio unaanza huduma, Umesahau kusema ( ULIKUWA UMEISHA LIPIA CHUMBA )
Hafai kuigwa kabisa na adhabu yake siku ya kikao chetu utakuwa mpanga viti na adhabu zingine!
Unaanzaje kuhudumia kabla ya maelewano na maridhiano! Hana maana kabisa aisee!