- Thread starter
- #21
Bro,heshima Ni kitu Cha bure,utafurahi nikikuita shangazi?Sounds gay'ish

Hlf,Mimi si mweupe wa kiasi hicho,Ni ule wa kawaida TU,sema huyu bibie ana allergy na rangi hii.Mwe mweupe,
Mboo nyeupe
Kazi haitawezekana,
Mrembo yuko sawa!!
Perhaps,halafu tangia nianze hii shughuli,hakuna yeyote aliyewahi kunambia sababu hiyo.usijutie vile ulivyo kabisa mkuu kwani anakitu gani huyo msichana kiasi cha kufanya ujutie ngozi yako..... live your best life mkuu, wakukupenda atakupenda wakukuchukia atakuchukia, wala usijihangaishe kama ipo ipo tu... alafu rangi ni kitu kidogo kwenye mahusiano huyo msichana inaonekana ni slay queen asiejielewa.....
hahaha mkuu wewe hupendi weupe umsaidie huyu ndugu?
Hapana, angetoa mwenyeweWe ungebaka,si ndiyo?
Weupe wake kama papai lililoiva umemponza
Always I lose what I can affordUnaanzaje kumhudumia mtu kiasi hicho bila kujihakikishia kuwa atatoa mzigo.
Ukaona raha mwenyewe kumtumia muhudumu upate numberSalamu wakuu.
Kwakweli hili jambo limeniuma Sana Tena Sana,yaani nimebaguliwa rangi na mbongo mwenzangu Tena akiwa na ujasiri kabisa.
Yeye Ni black beauty Fulani na figure matata na si mrefu.Jumapili nilikutana naye kwenye disco la Bashite lakini Ni huku mkoani.Basi nikamnunulia bia mbili tu kupitia mhudumu,Basi naye akachora namba kwa mhudumu ili anipatie,mwamba nikaona Mambo si ndo haya,kiukweli nilienjoy Sana maana Mara ya Kwanza kumuona ilikuwa Ni February kwenye kiwanja hichohicho lakini alinitolea nje kwa kukataa kampani yangu.
Sasa ile juzi nilivyomuona tu nilifurahi Sana na sikufanya ajizi kwa kutumia mbinu za mabaharia kwa kumuagizia kinywaji,ama kweli trick ilizaa matunda Kama nilivyowadokeza hapo juu kuwa alinipatia.
Baada ya hapo nikamuomba nimutoe out kwenye hotel Fulani inayoongoza kwa uzuri hapa nilipo,Basi alikubali na tukapanga siku ambayo Ni Jana,Basi mida ya saa moja jioni tukatimba maeneo meza ikaanza kuchafuka kwa chupa na chumba hicho tulikuwa wawili, hatimaye ikashushwa chipsi kuku ilimradi nimfurahishe mrembo ili nitakapoanza kumshushia upako Basi awe kusiwe na uzibe kumbe nilikuwa najidanganya TU, story kibao ziliendelea Tena Nzuri Sana maana zilikuwa hata za maisha na malengo ya mbeleni.
Basi katika bandika bandua ya story tukafika mpaka kwa wazungu na mahusiano yao kumbe ilikuwa kunikaanga na mafuta aisee.Mrembo kadai kuwa hajawahi kabisa kuvutiwa na watu weupe,hapo nikamwambia sentensi yako isije ikawa inanihusu na kumbe nilikuwa napigilia msumari kwenye kidonda kwani mrembo kakomelea kwa sana,na hata nilipofikia kumpa upako wangu akasema hawezi.
Basi dili likawa dirisha Sasa, mpaka inagonga saa Saba bar wamefunga na wahudumu wote wameondoka wakidhani wateja wote tumeondoka,ndo tukaamua tutoke baada ya kukosa vinywaji ambapo baada ya kujitetea kwa mulinzi kuwa hatukujua utaratibu wa hapa kuwa mwisho saa 5 ndo akaturuhusu huku nikijilaumu kwa kuharibu hela yangu.
Kufika home ikabidi nijipe kazi ya kumfuatilia yule mrembo kwenye mitandao ya kijamii ili pengine naweza thibitisha ukweli wake,kiukweli maneno zake aliozaa nao kiukweli wote Ni ma black tii na wabaya wa sura na Tena huyu wa sasa anayeishi naye afadhali(msinielewe vibaya kwamba nadisi weusi ila jamaa yake wa Kwanza si uongo jamani kwa sura ila,akazane kunoa kisu ndo atawala wengi?
Hapo nikaamini kuwa mrembo yupo right kwa itikadi yake,sijaona picha yoyote ya mwanamme mweupe aliodate nao zaidi ya weusi TU maana na Mimi itikadi yangu kipaumbele Ni warembo weusi na kwa weupe i'm too selective,Basi mbio zangu zote zikawa zimegota kihivyo.
Jambo la faraja kwangu,yule mhudumu alisahau kuja kuchukua bili yote ya vinywaji na akawa ameshaondoka.Nikasema moyoni malaika alikuwa nami.
Karibuni wahariri.
😂😂😂😂😂😂 muache mchaga wa watu
Sikumtuma Mimi,ila yeye mwenyewe alipoona nimemupa vinywaji ndo akamuagiza yule mhudumu ili anipe namba yake.Ukaona raha mwenyewe kumtumia muhudumu upate number
Yani hapo ndo ulipofeli
Ungechkua kwake directly angeona humuogopi ila kumtumia mtu anakukataa vzur na humwambii kitu
Hii bonge la chai 😀😀Salamu wakuu.
Kwakweli hili jambo limeniuma Sana Tena Sana,yaani nimebaguliwa rangi na mbongo mwenzangu Tena akiwa na ujasiri kabisa.
Yeye Ni black beauty Fulani na figure matata na si mrefu.Jumapili nilikutana naye kwenye disco la Bashite lakini Ni huku mkoani.Basi nikamnunulia bia mbili tu kupitia mhudumu,Basi naye akachora namba kwa mhudumu ili anipatie,mwamba nikaona Mambo si ndo haya,kiukweli nilienjoy Sana maana Mara ya Kwanza kumuona ilikuwa Ni February kwenye kiwanja hichohicho lakini alinitolea nje kwa kukataa kampani yangu.
Sasa ile juzi nilivyomuona tu nilifurahi Sana na sikufanya ajizi kwa kutumia mbinu za mabaharia kwa kumuagizia kinywaji,ama kweli trick ilizaa matunda Kama nilivyowadokeza hapo juu kuwa alinipatia.
Baada ya hapo nikamuomba nimutoe out kwenye hotel Fulani inayoongoza kwa uzuri hapa nilipo,Basi alikubali na tukapanga siku ambayo Ni Jana,Basi mida ya saa moja jioni tukatimba maeneo meza ikaanza kuchafuka kwa chupa na chumba hicho tulikuwa wawili, hatimaye ikashushwa chipsi kuku ilimradi nimfurahishe mrembo ili nitakapoanza kumshushia upako Basi awe kusiwe na uzibe kumbe nilikuwa najidanganya TU, story kibao ziliendelea Tena Nzuri Sana maana zilikuwa hata za maisha na malengo ya mbeleni.
Basi katika bandika bandua ya story tukafika mpaka kwa wazungu na mahusiano yao kumbe ilikuwa kunikaanga na mafuta aisee.Mrembo kadai kuwa hajawahi kabisa kuvutiwa na watu weupe,hapo nikamwambia sentensi yako isije ikawa inanihusu na kumbe nilikuwa napigilia msumari kwenye kidonda kwani mrembo kakomelea kwa sana,na hata nilipofikia kumpa upako wangu akasema hawezi.
Basi dili likawa dirisha Sasa, mpaka inagonga saa Saba bar wamefunga na wahudumu wote wameondoka wakidhani wateja wote tumeondoka,ndo tukaamua tutoke baada ya kukosa vinywaji ambapo baada ya kujitetea kwa mulinzi kuwa hatukujua utaratibu wa hapa kuwa mwisho saa 5 ndo akaturuhusu huku nikijilaumu kwa kuharibu hela yangu.
Kufika home ikabidi nijipe kazi ya kumfuatilia yule mrembo kwenye mitandao ya kijamii ili pengine naweza thibitisha ukweli wake,kiukweli maneno zake aliozaa nao kiukweli wote Ni ma black tii na wabaya wa sura na Tena huyu wa sasa anayeishi naye afadhali(msinielewe vibaya kwamba nadisi weusi ila jamaa yake wa Kwanza si uongo jamani kwa sura ila,akazane kunoa kisu ndo atawala wengi?
Hapo nikaamini kuwa mrembo yupo right kwa itikadi yake,sijaona picha yoyote ya mwanamme mweupe aliodate nao zaidi ya weusi TU maana na Mimi itikadi yangu kipaumbele Ni warembo weusi na kwa weupe i'm too selective,Basi mbio zangu zote zikawa zimegota kihivyo.
Jambo la faraja kwangu,yule mhudumu alisahau kuja kuchukua bili yote ya vinywaji na akawa ameshaondoka.Nikasema moyoni malaika alikuwa nami.
Karibuni wahariri.
😃😃😃 mpaka dakika hii anajifanya hajui kwamba demu. alikuwa anatafuta mbinu za kumchuna bila ya kuliwaSasa mwanaume unakuwaje mweupe[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
😃😃😃Hii bonge la chai 😀😀
😃😃😃Sounds gay'ish
Ukishajua wewe ni mweupe peeeSikumtuma Mimi,ila yeye mwenyewe alipoona nimemupa vinywaji ndo akamuagiza yule mhudumu ili anipe namba yake.
Kama ambavyo huamini ww, na mm siamini kabisa kwa kilichonikuta.Hii bonge la chai 😀😀
Hahahaaaaa,mku ungefanyeje?Mafunzo yote/kozi zote
eti binti hanitaki/si uzoba huu,