ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,784
- 1,317
Unasemaje Switlo. Ina maana kile kibendi umechakachua?
aaaah mie tena,anaendelea vizuri anarusha mateke tu
Unasemaje Switlo. Ina maana kile kibendi umechakachua?
kwa hiyo ni ya mtu mwingine basi...mbona kila kitu kipo wazi?hivi mtu ana mimba yako anaweza kukata mawasiliano bila sababu?