Mrembo Fresh From College alamba Ukuu wa Wilaya Singinda

Jamani kuwa mkuu wa wila mbona hakuna kazi yoyote zaidi ya ukada wa chama cha magamba.
 
Ni vigumu sana kuwaelewa Watanzania! Ukiwakuta wanalalamika ooh na sisi vijana tupewe fursa ya kuongoza, wazee wameshindwa. Wakipewa utasikia ooh yule kapewaje, mbona bado mdogo hana uzoefu, chakula ya jamaa. Nafsi yangu ilishanionya undumilakuwili ni sumu ya maendeleo
 
Rais JK mpaka leo hajateua makatibu wakuu, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya, hivyo thread hii si ya kwweli
tafuteni jamani kwenye orodha ya ma DC, uteuzi huu ulishafanywa siku nyingi .........
 
Amesoma Chuo UDSM ana degree ya Sheria I think aligombea Ubunge wa Viti Maalum hakupata, but she is very bright and smart. And I think she will manage very well if wht u r saying here is true

Hicho cheo hakina cha nini wala nini sadakalawe tu! Kama mtu yuko vizuri ukuu wa wilaya ni wa nini akachape kazi! Tibu wagonjwa sijui nini na nini!
 
Back
Top Bottom