Mrembo Fresh From College alamba Ukuu wa Wilaya Singinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mrembo Fresh From College alamba Ukuu wa Wilaya Singinda

Discussion in 'Jamii Photos' started by Katikomile, Jan 31, 2011.

 1. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2011
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Huyu ndiye Fancy Nkuhi aliyeteuliwa na Mr. President kuwa mkuu wa wilaya Manyoni.
  Experience- fresh from college. View attachment 21773
   
 2. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  From which college?? How old is she??
   
 3. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Acha ujasiriamali wako hapa, kwani ameshatangazwa? Mbona hatujasikia au siku hizi wakuu wa wilaya/mikoa hawatangazwi?
   
 4. P

  Paul S.S Verified User

  #4
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Ulimwengu alisema cheo hiki ni cha aina yake,kina kuanza koplo wa jeshi hadi meja jenero, kina std seven hadi phd holder, nasasa kina fresh from college to .............
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Mods ziunganisheni hizi za huyu dada zimekuwa kibao!
   
 6. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  ametoka chuo gani, amesoma nini na ana umri gani?
   
 7. Freestyler

  Freestyler Senior Member

  #7
  Jan 31, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Too much sasa mpaka Mkulu ataghairi!...lol!
   
 8. Rural Swagga

  Rural Swagga JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Shez Cute!!
  [​IMG]
   
 9. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ahhhhhhhhhh,Mrembo,kama kama hakuchakachua shule yake atafanya kazi,kazi zenyewe hizi za kuelekezwa kila kitu.
   
 10. M

  Mantuntunu Senior Member

  #10
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 137
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Amesoma Chuo UDSM ana degree ya Sheria I think aligombea Ubunge wa Viti Maalum hakupata, but she is very bright and smart. And I think she will manage very well if wht u r saying here is true
   
 11. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  kumbe ndiyo maana alikuwa anakandia sana CDM kwenye FB. Alivyokuwa anashabikia vifo vya Arusha inatia kinyaa.
   
 12. moto ya mbongo

  moto ya mbongo JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 336
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Mantuntunu acha kudanganya wadau Fancy Nkuhi kasomea sheria Tumaini University Dar es Salaam College (TUDARCo) alikuwa kiongozi kwenye serikali ya wanafunzi anaenda kutumikia wanaSingida du akafanye kazi.
   
 13. beatrixmgittu

  beatrixmgittu Senior Member

  #13
  Jan 31, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  :popcorn::popcorn::popcorn::popcorn::popcorn:!!!!1
   
 14. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #14
  Jan 31, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Nkundusi iko mkoa gani bibie.......................
   
 15. beatrixmgittu

  beatrixmgittu Senior Member

  #15
  Jan 31, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Iko Kigoma mpendwa
   
 16. beatrixmgittu

  beatrixmgittu Senior Member

  #16
  Jan 31, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  iko mkoa wa Kigoma.
   
 17. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #17
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  :clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
   
 18. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #18
  Jan 31, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Shukran...............  Naomba unielekeze basi mama ili nami nifike huko,tuanzie stesheni ya treni.................
   
 19. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #19
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Rais JK mpaka leo hajateua makatibu wakuu, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya, hivyo thread hii si ya kwweli
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Mama weeee
  zaituni ndio mkuu wa wilaya????????????????????
   
Loading...