Habari from TANROAD zinathibitisha kuwa Katibu mkuu, Naibu katibu mkuu na HR wa Miundo mbinu wamempa dispatch Mr Mrema na nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa Mkurugenzi wa barabara vijijini Mr Mfugale. Na aliyekuwa meneja wa Tanroad Dar (Mr Nyabakari) amekuwa mkurugenzi wa Miradi-director of projects.
More to come tomoror
Kumbe tumbua tumbua imeanza tangu akiwa wazirikwa kua habarizilisema kuwa magufuli alikua aende kwanza pata baraka za JK,it meansmkuu kakubali,ss kaa izi habari ni za kweli i wish mkuu angekua ana toa baraka za namna hii fasta fasta esp mara apokeapo ripoti za viongozi wasio aadilifu kama hawa...ss sijui wale wa takukuru,nc twende tukawaripoti wapiii.......kweli huu ni mwaka wa lala salama,MREMA KARIBU KIJIWENI...USICHEZE NA POMBE HANA MCHEZO
Ulisema vyema na sasa anaendeleza moto ule ule bila mchezo.Kweli magufuli mwanaume, tungekuwa na viongozi kama kumi wa hivi i am sure tungeenda mbali maaana magufuli haogopi mtu, Kila anakoenda lazima atimue mtu pale ardhi, TIBAIJUKA FANYA MAMBO FUKAZA HAO, WIZARA YA AFYA Dr HAJI angalia hao, hela za wahisani zinapotea tu, tunapewa net badala ya kuua masalia ya mbu?? HUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU, ELIMI, UTALIIIIIIIIIIIIIII PAMEOZA, KULE BANDARINI KUMEOZAAAAAAAAAAAA
Mwizi yule!Tanroads watajuta kumkosa mrema wait and see
Duuuh . . . . inatia hasira sanaHabari Njema, Mrema ameisaidia CCM katika pesa za kampeni barabara ya bagamoyo haikujengwa pesa zilipitia SUMA JKT kisha zikaliwa wakati wakandarasi viongozi wale wa koprea wanashangaa kwanini pesa ililipwa SUMA wakati wale walikuwa Subcontractors wakapewa wakafanye barabara nyingine,
Good NUUUUZ if its true
Duuuh . . . . inatia hasira sana
Jamaa alianza kuchukia wakaskazini zamani mjuena hii ndo ikawa the rise of mfugale towee