Afande Fojuman
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 650
- 534
Huyu naye NUSU yeye NUSU kijani na njano tunamjua sana, si-kapopo si-kandege mbishi ka-kiberiti cha TZ.....Kwa hali hii Mrema ataweza kupambana na Mbatia kwel?
Ha haaa haaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwa hali hii Mrema ataweza kupambana na Mbatia kwel?
Utafikiri Mkutano wa CCM Ambao Hawajasomba Wafuasi Kwa Malori.
Sa anatumia mic ya nini?
Halafu hao wazee wanaomsikiliza hapo wanaomba tu amalize wakanywe mbege aliyowaandalia!!
kwa hali hii mrema ataweza kupambana na mbatia kwel?