Mrema Proves Nyerere 1995 Right on TBC-1

Midas Touch

Senior Member
Jan 23, 2008
178
182
Eventually Mrema declairs that "Presidency" is never a "big deal" with him anymore! And that he goes for the Parliamentary Races at Vunjo Constituency in 2010. This is exactly what Nyerere told him in 1995 at Msasani when he invited him for discussion.
 
hahahaha! Mrema hana image ya urais hata kidogo. Finally amekubali. Mrema ni mtendaji. Katika maisha lazima ukubali role yako. Kuna natural born leaders na kuna watendaji, na wanaopenda kuongozwa. Thats the fact of life!
 
Inaonekana wakati wake umeisha na yeye ameona alama za nyakati. Sijui tuombe uwepo umri wa kustaafu siasa?
 
eventually mrema declairs that "presidency" is never a "big deal" with him anymore! And that he goes for the parliamentary races at vunjo constituency in 2010. This is exactly what nyerere told him in 1995 at msasani when he invited him for discussion.

hata mie namshauri akagombee ubunge maana yeye anaweza kutekeleza issues

na hata huko vunjo aangalie vizuri

lingine ambalo nataka kuwashauri wapinzania waangalie mtu mmoja ambaye anaweza kutikisana na kikwete 2010 halafu wengine wote waende katika ubunge wanaweza kupata kitu

naimani wananchi wanaweza kuwapa kura
 
lingine ambalo nataka kuwashauri wapinzania waangalie mtu mmoja ambaye anaweza kutikisana na kikwete 2010 halafu wengine wote waende katika ubunge wanaweza kupata kitu

naimani wananchi wanaweza kuwapa kura[/QUOTE]

Wamwachie mzee wa helkopita!! Wengine wakae chini
 
Mrema ameshajichokea na ni mgonjwa..ukumwangalia huwa anatetemeka kwa ugonjwa wa sukari!!

Kwa vile ni mgonjwa- ni bora tu ajipumzikie tu- awaachie vijana!

Hata ubunge Vunjo hawezi tena!
 
Mrema alifanikiwa kwenye kazi zake kuliko hao wengine wote mnaowasifia. Kama walivyokuwa Karume na Sokoine, wameonyesha sio lazima uwe profesa ili kuweza kutekeleza majukumu yako ipasavyo.

Kama ameamua kwenda kugombea ubunge ni jambo jema. Mimi namtakia kila la heri, kwa TZ baada ya Sokoine kwa mimi anafuata Mrema kiboko cha kweli cha mafisadi, majambazi na wavunja sheria wengine.
 
Mrema ni usalama wa taifa kwahiyo yeye ni CCM damudamu. Kwa mtazamo wangu, naona hii ni mojawapo ya mikakati ya kumwondoa Aloyce Kimaro bungeni ambaye ameonekana kuwa mwiba kwa mafisadi. Historia inaonyesha kuwa Mrema ameongoza kampeni za kuuvuruga upinzani katika Tanzania. Yeye ndo amekuwa mwiba wa ndoto za kwepo umoja wa vyama vya upinzani. Haijalishi kuwa Mrema atashinda ubunge na kuwa upinzani lakini atakuwepo bungeni kutimiza matakwa ya CCM. Tuombe uzima, tusubiri tuone itakavyokuwa.
 
Tunakaribia mfupa nyama inakuwa tamu..... Mrema - Vunjo, Mbowe - Hai Urais Mengi patamu hapo! Mpaka kieleweke!
 
Tunakaribia mfupa nyama inakuwa tamu..... Mrema - Vunjo, Mbowe - Hai Urais Mengi patamu hapo! Mpaka kieleweke!

Mkuu,

Kumbe na wewe hili unajua? Mimi nimezipata hizo kutoka kule kusini kwamba kuna mtu anataka kuchukua form ya urais kupitia chama pinzani. Niwajuavyo CCM wanaweza kummaliza akiwa mzima mzima maana siri zake zote wanazo.

Kama mzee wetu Mengi ana wazo ni bora akaliacha maana watamvuruga kweli kweli!
 
Mtanzania, unazidi kunichanganya. Tumwagieni mambo hapa, huko kusini ni wapi na kwa akina nani ulizipata?
 
Mtanzania, unazidi kunichanganya. Tumwagieni mambo hapa, huko kusini ni wapi na kwa akina nani ulizipata?
Kyachakiche,

Hii habari sina uhakika nayo hivyo lazima niseme, inawezekana ni jungu tu.

Nilichoambiwa mimi na watu mbalimbali ambao naweza kusema nina waheshimu na wana nafasi zao za maana serikalini ikiwemo UWT. Ni kwamba kulikuwa na mpango wa mzee Mengi na baadhi ya wabunge kuzunguka nchi nzima na kujipima nani ana nguvu zaidi.

Atakayeonekana ana nguvu zaidi ndiye atakuwa mgombea wa CHADEMA 2010, baadhi ya wabunge hao ni wa CCM.

Sikutaka kuiandika kwasababu huenda ni majungu tu lakini baada ya kusoma maandishi ya mzee kijana Masatu ikabidi nichangie. Huenda hii habari watu wengi wameambiwa.

Sitawataja hao wabunge wa CCM maana sina uhakika na habari yenyewe na nitakuwa siwatendei haki.

CCM wanajua na wanasubiri tu kuthibitisha kama ni kweli.

Muda ni mwamuzi wa yote na mwakani sio mbali, tutajua kama ni majungu au la.

Ila tu Mbowe akigombea ubunge, na Mrema pia pamoja na Lipumba, naamini litakuwa jambo jema kwenye demokrasia ya nchi. Watafute mtu mwingine wa kumkabili JK 2010.
 
Mkuu,

Kumbe na wewe hili unajua? Mimi nimezipata hizo kutoka kule kusini kwamba kuna mtu anataka kuchukua form ya urais kupitia chama pinzani. Niwajuavyo CCM wanaweza kummaliza akiwa mzima mzima maana siri zake zote wanazo.

Kama mzee wetu Mengi ana wazo ni bora akaliacha maana watamvuruga kweli kweli!

Hizi zote ni kelele za woga, unajua mwoga kila siku lazima apige kelele watu wamsikie kuwa anapita ili akikabwa na vibaka iwe rahisi kwa watu kumsaidia. Mengi ni CCM, na hakuna mtu anayeweza kuota kama uyoga agombee urais. Urais wataka matao, vinginevyo utakuwa na wewe unataka kuandika history ya ugombea. Mtashangaa pale mgombea wa upinzani atakapokuwa mtu mzito kabisa kutoka miongoni mwao.
 
Kwa kuchoka akili Mrema hafai si urais tu bali hata ubunge hafai. Akae chini aendelee kujiganga maradhi aliyonayo, basi!
 
Mkuu,

Kumbe na wewe hili unajua? Mimi nimezipata hizo kutoka kule kusini kwamba kuna mtu anataka kuchukua form ya urais kupitia chama pinzani. Niwajuavyo CCM wanaweza kummaliza akiwa mzima mzima maana siri zake zote wanazo.

Kama mzee wetu Mengi ana wazo ni bora akaliacha maana watamvuruga kweli kweli!

Hizi habari zimezagaa lakini zimesha kuwa pre-empted and the whole game has spactulary taken nose dived.

Wajanja wamebunya pesam za Mangi halafu wameanza mbele....
 
Mrema nenda kapumzike uangalie afya yako. uliyofanya wakati ukiwa mtendaji wa serikali inatosha kukupa heshima. Si jambo jema ww kwenda kupambana na mpiganaji Kimaro kule Vunjo.
 
Back
Top Bottom