Mrema Proves Nyerere 1995 Right on TBC-1

hahahaha! Mrema hana image ya urais hata kidogo. Finally amekubali. Mrema ni mtendaji. Katika maisha lazima ukubali role yako. Kuna natural born leaders na kuna watendaji, na wanaopenda kuongozwa. Thats the fact of life!

Ni kweli uyasemaje lakini you dont have to be a natural born leader to be a leader otherwise our current leaders wouldn't be leaders. I guess you know what I mean. In a country like ours where majority of voters cannot connect their votes with the events of their of life any one then can be leader.
 
Last edited:
Inaonekana wakati wake umeisha na yeye ameona alama za nyakati.
Very sad kuwa alama ameziona kupitia mafisadi maana wamemwahidi kuwa wanataka kumng'ao Kimaro Vunjo ili wampe yeye jimbo. Na si ajabu akarejea CCM ili iwe rahisi yeye kushinda jimbo hilo
 
WHEN IT COMES TO MREMA,
it is a big sign of times,his period has already gone!this is the time for 'maisha bora kwa kila mtanzania'...............hahaha!

sio swala la mrema kuithibitisha kauli ya nyerere,NI KWAMBA AMEPITWA NA MUDA
 
....nataka ashinde ubunge ili kelele zake zipate pa kutokea kuliko pale manzese makao makuu ya TLP,huyu jamaa ni bora mara 10000000 kuliko CCM!
 
Mrema ni usalama wa taifa kwahiyo yeye ni CCM damudamu. Kwa mtazamo wangu, naona hii ni mojawapo ya mikakati ya kumwondoa Aloyce Kimaro bungeni ambaye ameonekana kuwa mwiba kwa mafisadi. Historia inaonyesha kuwa Mrema ameongoza kampeni za kuuvuruga upinzani katika Tanzania. Yeye ndo amekuwa mwiba wa ndoto za kwepo umoja wa vyama vya upinzani. Haijalishi kuwa Mrema atashinda ubunge na kuwa upinzani lakini atakuwepo bungeni kutimiza matakwa ya CCM. Tuombe uzima, tusubiri tuone itakavyokuwa.

Kwahiyo Jasusi na usalama wa CCM ni damudamu kwa sababu naye ni usalama wa taifa?
 
Mrema ni ccm damu damu na ndio maana hata msajiri wa vyama anambeba anapowafanyia wenzie kwenye TLP madudu ambayo kwa kawaida yasingeruhusiwa; mfano mzuri ni jinsi alivyowaengua wenzie katika kugombea uenyekiti wa TLP, kwa mantiki yeyote ile msajili wa chama alitakiwa aingilie kati ili Mrema apate mpinzani wa kweli katika kugombea uenyekiti, badala yake akafanya madudu yake na sasa amesave!! Wavunjo ni watu makini hawawezi kumpa Mrema tena kwa sababu hana bei tena ;hawezi kuwaletea maendeleo ya dhatii ingawa CCM itafanya kila hila ilil Kimaro ashindwe na Mafisadi waendelee kuikomba nchi!!
 
Mzee amekumbuka shuka asubuhi, kachelewa mno! sijui kama sasa hivi hata huo mvuto wa kuwa mbu-nge anao!
 
inashangaza kuona kwamba wana JF wengi wamefurahia uamuzi wa Mrema kugombea ubunge kwa kumbukumbu ya asifa alizopataga wakati ule...kuongoza ni pamoja na kutoa fursa ya demokrasia sawa kwa unaowaongoza...je mnajua uongozi wa Mrema ndani ya TLP....mnakumbuka udicteta aliowanyia wanachama wake wakati wa mkutano mkuu mpaka wanachama waliohuzuria n wale wanaomuunga mkono tu...ikowapi demeokrasia...ukowapi uongozi...kwake mwanachama ni yule anayekubaliana nae tu na kiongozi ni yule anayemtaka yeye....hata leo asubuhi pale TBC1 alikuwa anasema ungozi angewezakumuachia mtu mmoja tu anayemuona yeye anafaa....
kwenda kugombea ubunge ni kimaslahi sana tena binafsi, wanamjua huu mzee sasa hivi maisha sio mazuri...na uwezekano mkubwa wa yeye kutumiwa kumng'oa Kimaro pale...kwanini aende vunjo??? mbona Vunjo wanamuwakilishi mzuri tu...

Tuwaombe wananchi wa Vunjo wawe makini na huu ajuza wa siasa asijeakawadanganya...
 
Back
Top Bottom