Mrema ni m/kiti wa halmashauri za klm tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mrema ni m/kiti wa halmashauri za klm tu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jahom, Mar 23, 2011.

 1. J

  Jahom JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Aug 26, 2008
  Messages: 336
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Inawezekana ndo ameanzia huko kwanza. Lkn kuna maeneo yenye matatizo zaidi badala ya kuonyesha ukabila zaidi.
   
 2. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #2
  Mar 23, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,188
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Ukabila umeuwaza wewe... Point kuwa kuna maeneo yenye matatizo zaidi, sidhani kama wewe unaweza kuwa na taarifa kuliko kamati yenyewe. Lakini kuna tatizo gani Mkuu? Mbona tena atakakoenda baadae ndiko atafanya kazi nzuri zaidi kwani atakuwa ameshapata uzoefu wa kutosha wa jinsi ya kupambana na taarifa 'feki' za wakurugenzi?
   
 3. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kichaa kapewa rungu...! This is a golden opportunity for Mr Lyatonga to make a strong comeback in the political limelight...
   
 4. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,298
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Unataka akae mbali na KIMBEGE? anahitaji kugawana anachopata na wapiga kura wake kwa kuwanunulia kitochi
   
 5. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kaanzia kwao ili atakapowashukia wengine wasiseme anawaonea
   
 6. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,042
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Anajua mafanikio yake yataanzia nyumbani then kwingine, jamaa atafanya kila kitu ili CV yake izidi kupanda
   
 7. Prisoner

  Prisoner Senior Member

  #7
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 26, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haaaaa ni huyu mzeee wa kiraracha????????????
   
Loading...