Wagonjwa wa kisukari wanashauriwa wavae viatu vipana na vilaini (kama sandals au raba) ili kulinda miguu yao isipate m'bano ambao unaweza sababisha michubuko..kwani hiyo inaweza pelekea kupata maambukizi ya bakteria (hasa gram -ve) na kupata vidonda sugu (ulcers) au hata condition inaitwa 'cellulitis', na mara kadhaa imepelekea wengi wao kupoteza viungo (kukatwa mguu, vidole) kwa sababu ya 'gangrene'.
Pamoja na hilo, mheshimiwa amejitahidi kumatch'isha' na kupendeza...