Mrema: Hakuna Rais mzuri kama Magufuli

Mrema: Hakuna Rais mzuri kama Magufuli

rusesa

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
538
Reaction score
234
1. Anasema hakuna rais mzuri kama Magufuli.

2. Atapunguza msongamano magerezani.

3. Kwa sasa anapendwa sana Vunjo.

3. Bodi yake haina pesa.

4. Hali ya kisiasa ni shwariii kwa sasa nchini.

5. Serikali ya Magufuli imempeleka India kwa ajiri ya matibabu n.k
 
Mm, sasa asemeje kama upeo wake umekomea hapo. Isitoshe, fadhila alizopata toka kwa mkuu ni lazime azigharimie kwa kusifia hata kama moyoni ana mengine. Hivi umesahau kuwa wakati wa kampeni alimpigia mkuu! Yaani hana namna mzee wa watu!
 
1:Anasema hakuna rais mzuri kama magufuri!
2: atapunguza msongamano magerezan!
3:kwa sasa anapendwa sana vunjo!
3: bodi yake haina pesa!
4:hali ya kisiasa ni shwariii kwa sasa nchini
5: serikari ya magufuli imempeleka india kwa ajiri ya matibabu! N.k

3. bodi haina hela

huyuu mzee kwanini asiamue kustaafu tuu siasa.

ata hajui anafanya nini,
hajijui ni ccm
au mwenyekiti wa tlp

UNDIRECTION MAN.
 
Kufanya makojiano yasiokuwana dira wala muelekeo ime kuwa ni" habari" ya kushuana.God forbids,
 
Huyu naye kafeli siasa mpaka maisha..ni wa kumuombea tu
 
1:Anasema hakuna rais mzuri kama magufuri!
2: atapunguza msongamano magerezan!
3:kwa sasa anapendwa sana vunjo!
3: bodi yake haina pesa!
4:hali ya kisiasa ni shwariii kwa sasa nchini
5: serikari ya magufuli imempeleka india kwa ajiri ya matibabu! N.k

Mungu Anisamehe Niseme tu huyu Mrema Mchumia Tumbo hajielewi, Let alone Kuwa na Lakuwaambia Watanzania. Amezeeka Vibaya na Nikitumia Lugha ya Picha! Mavazi Meupe ya Sifa njema aliyovaa 1989-95 Yamejaa Kinyesi cha Usaliti na Kujiuza Kwa Kipande cha mkate na samaki wabovu!
 
Huyu ndie chanzo cha upinzani mmbovu Tanzania,
 
1:Anasema hakuna rais mzuri kama magufuri!
2: atapunguza msongamano magerezan!
3:kwa sasa anapendwa sana vunjo!
3: bodi yake haina pesa!
4:hali ya kisiasa ni shwariii kwa sasa nchini
5: serikari ya magufuli imempeleka india kwa ajiri ya matibabu! N.k

= Magufuli
= ajili

Majina ya watu huanza na herufi kubwa.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Mungu Anisamehe Niseme tu huyu Mrema Mchumia Tumbo hajielewi, Let alone Kuwa na Lakuwaambia Watanzania. Amezeeka Vibaya na Nikitumia Lugha ya Picha! Mavazi Meupe ya Sifa njema aliyovaa 1989-95 Yamejaa Kinyesi cha Usaliti na Kujiuza Kwa Kipande cha mkate na samaki wabovu!

lahaula!
 
1:Anasema hakuna rais mzuri kama magufuri!
2: atapunguza msongamano magerezan!
3:kwa sasa anapendwa sana vunjo!
3: bodi yake haina pesa!
4:hali ya kisiasa ni shwariii kwa sasa nchini
5: serikari ya magufuli imempeleka india kwa ajiri ya matibabu! N.k
6. serikali ya pombe imempa ulaji
 
Back
Top Bottom