Mrema: Hakuna Rais mzuri kama Magufuli

Mrema: Hakuna Rais mzuri kama Magufuli

Lazima asifie maana bila hivyo haendi India wala chooni
 
mrema ndo mchaga pekee tanzania aliyepata uteuzi kwenye awamu hii, kwa hio simshangai
 
Kapewa kazi aliomba wakati wakampeni sasa amepewa kwahio lazima ashukuru mnafiki mkubwahuyo kafilisika akili
 
1. Anasema hakuna rais mzuri kama Magufuli.

2. Atapunguza msongamano magerezani.

3. Kwa sasa anapendwa sana Vunjo.

3. Bodi yake haina pesa.

4. Hali ya kisiasa ni shwariii kwa sasa nchini.

5. Serikali ya Magufuli imempeleka India kwa ajiri ya matibabu n.k
Kwahiyo anafanya comparison kati ya rais wa TFF ,TLS n.a. huyu wa ccm
 
Msiojua kusoma mambo ya ubongo mtamlaumu mrema bure kama sura imeoza unazani ubongo umesalimika huyo akili zake ni team milembe
 
Back
Top Bottom