Mrema: Hakuna Rais mzuri kama Magufuli

Mrema: Hakuna Rais mzuri kama Magufuli

1:Anasema hakuna rais mzuri kama magufuri!
2: atapunguza msongamano magerezan!
3:kwa sasa anapendwa sana vunjo!
3: bodi yake haina pesa!
4:hali ya kisiasa ni shwariii kwa sasa nchini
5: serikari ya magufuli imempeleka india kwa ajiri ya matibabu! N.k

Tusimlaumu sana jamani, hatujui anazungumzia uzuri gani.
Labda mleta hii mada kama sio "mkereketwa" ongeza nyama tupate cha kufikirisha vichwa vyetu
 
Kwa hiyo nchi ina Rais wawili ila anayeonekana kufanya vizuri ni Rais wetu Dr .Magufuli?
 
1:Anasema hakuna rais mzuri kama magufuri!
2: atapunguza msongamano magerezan!
3:kwa sasa anapendwa sana vunjo!
3: bodi yake haina pesa!
4:hali ya kisiasa ni shwariii kwa sasa nchini
5: serikari ya magufuli imempeleka india kwa ajiri ya matibabu! N.k
Hapo namba 5 ndio alipoguswa na utawala wa Magufuli.
 
3. bodi haina hela

huyuu mzee kwanini asiamue kustaafu tuu siasa.

ata hajui anafanya nini,
hajijui ni ccm
au mwenyekiti wa tlp

UNDIRECTION MAN.

Anasubili kufa,si unaona hata ngozi imenyofoka amekuwa ja rangi mbili,anabembeleza ili azikwe na Ccm kwa heshima.
 
Kwa nini asifanyiwe uhakiki huyu Mwenyekiti wa Palore? Nafasi anayoishika haiendani na matakwa ya kitaaluma kama sheria inavyotaka. Kwa nini waalimu na manesi tu.
 
1:Anasema hakuna rais mzuri kama magufuri!
2: atapunguza msongamano magerezan!
3:kwa sasa anapendwa sana vunjo!
3: bodi yake haina pesa!
4:hali ya kisiasa ni shwariii kwa sasa nchini
5: serikari ya magufuli imempeleka india kwa ajiri ya matibabu! N.k
Njaa mbaya sana aisee...
 
Nina imani kubwa Mrema karukwa Na akili kutokana Na maradhi anayougua
 
kisheria yupo mahali ambapo hastahili nafasi ya mwenyekiti wa parol inatakiwe iwe chini ya jaji mstaafu kama ilivyo kwa msajili wa vyama vya siasa asiposifu atafanya nini sasa kwa umri wake apumzike tu ndo kilichobaki
 
The next person atasema maneno kama ya Mrema atakuwa ni yule Le Professor...This is how corrupted minds behave...
 
Back
Top Bottom