Mrema awaponda CHADEMA live Bungeni

Mrema awaponda CHADEMA live Bungeni

A wolf among werewolves..........

attachment.php
 
mzee wa kirarachaaaa kila siku anampya huyu mwacheni kama alivyo.
 
Huyu mrema cjui anavutaga bangi au vp,maana me cmuelew kabisa.

Kuna wabunge ukisikia wanatajwa kwenye orodha ya kuongea inabidi ikifa zamu yake ubadilishe channel kwanza mpaka amalize bcse the end of the day atakuboa tu! mmojawapo ni huyo Lyatonga. Ameshachoka kisiasa akapumzike

Jaman hivi katika watu Mrema nae ni mtu???? Ni kumsamehe tu kwani nae sie. yule hata akiongea kitu cha maana hawez kuwa considered kwani tushamtoa kwenye watu na kumgroup kwenye ignore list. Mrema yupo duniani kama hayupo duniani vile.

Dah huyu jamaaa hana tena Sera kasema ana siri nyingi sana za Serikali akiwa naibu waziri so wamlipe aitetee serikali (CCM)

Hizo ni dalili za mtu anapokaribia kufa. Mrema yuko karibu kabisa na kaburi, kimwili na kimawazo.
Natoa wito kwa wanachama wa tlp tz nzima wajiondoe kutoka ktk chama hicho na kumwacha mrema pekee. Msipo utii wito wangu, basi ninyi nyote si wapiganaji bali ni waganga njaa. Endeleeni.

Mh.Mrema Njaa itamuua,anaifagilia serekali ya CCM kwa sababu ya njaa tu!!!

Muda mfupi uliopita mheshimiwa Augustino Lyatonga Mrema ametoka kuchangia hotuba ya bajeti ya Waziri mkuu! Nimemuangalia na kumsikiliza kwa makini sana na nikajikuta namuonea huruma sana! Ameanza kwa kuponda sana mikutano na maandamano ya CDM kwa kisingizio kisicho na mashiko cha amani kama wanavyotumia wenye chama cha magamba! Akanukuu habari inayozungumzia hali ilivyo nchini Misri kwamba watalii hawaendi na uchumi unaelekea kubaya! Akabwabwaja utumbo mwingi akizitaja nchi kama Tunisia, Libya, Misri, Kenya na nyinginezo akijaribu kuboresha hoja yake! Kumbe muda wote huo alikuwa akijikomba kwa Chama cha magamba kwa sababu baada ya hapo akadai kuwa yeye alikuwa NAIBU WAZIRI MKUU kwa hiyo apewe mafao yake ya nafasi hiyo. Bila ya aibu aksema "MMENIFUNDISHA MAMBO MENGI, NAJUA MAMBO MENGI, KWA HIYO MKITAKA NIENDELEE KUTETEA MAMBO YA NCHI HII NIPENI HAKI YANGU". Ina maana kuwaponda CDM na kuunga mkono hoja kwa 100% ilikuwa ni kuwatetea ili wampe mafao ya UNAIBU WAZIRI MKUU FEKI! Huyu mzee njaa itamuua!

There is nothing entertaining kwa mwanaume mzima kulamba miguu ya mwanaume mwingine. Is sucks! Mrema aliomba kura kutetea wanavunjo au kusifia ccm bungeni? The man is completely out of order!

Alishafika kileleni sasa anashuka chini - memory pamoja na nguvu ya kutengeneza hoja hamna tena.

I'm amazed na Demokrasia..........Kule Vunjo Mrema huyu ni Hero.....akigombea ubunge kwa tiketi ya CCM/NCCR/TLP.........ubunge ni wake.......dah its amazing........
 
Hivi ni mbunge wa kuteuliwa au kuchaguliwa? Mi naona analeta ucheshi tu bungeni anamdai Pinda wam'treat' kama naibu waziri mkuu mstaafu japo kwa 20% badala ya 80% ili aweze kutetea 'nji' hii hapa alisita kidogo nadhani alitaka aseme ili aweze kutetea CCM, Kaunga mkono hoja.
Mi naamini walimpa ubunge kule Vunjo makusudi ili akaue upinzani!Lakini kila analojaribu kuchonganisha CDM na wananchi anaona hakifanikiwi!Siasa ina wenyewe sio kujipendekeza kwa chama tawala ndo ujanja,ni upuuzi tu!Mshaurini aende kwa Dr. Slaa ili akafundishwe nini maana ya siasa!yani kwa kifupi ASIBAKE SIASA!
 
Jamani kuweni na huruma na huyu mzee! Kama aliweza kushindwa kumfanyia kampeni mgombea urais wa chama chake, yeye mwenyewe akiwa kama mwenyekiti wa TLP mnategemea nini kutoka kwake. Ninawaza kwa sauti tu hapa!
 
Naona baada ya kupata nafuu amesahau kuwa alitakiwa arudi Loliondo kwa Babu ili apate kikombe kingine!!
 
Kafulia huyo mzee, alikua anatangaza njaa hadi anatia huruma.

Kweli "An empty stomach is not a good political advisor" - Albert Einstein
 
hebu atupishe hapa na mipunye yake mpaka usoni

Muogope Mungu. Hakupenda kuwa vile. Mbona kuna walemavu lakini utu wao unastahili kuheshimiwa? Kwani tunajua wewe una dosari gani mwilini?
 
I'm amazed na Demokrasia..........Kule Vunjo Mrema huyu ni Hero.....akigombea ubunge kwa tiketi ya CCM/NCCR/TLP.........ubunge ni wake.......dah its amazing........
ahaaa wewe mbona ujasema akigombea kwa tiket ya chadema.huyo walimpa akale pensheni tu lakini awezi dhubutu kuomba man 2 man na chadema huyo!
 
Anayemlipa mpiga zumari ndiye anachagua....Huyu jamaa ni runinga sasa kuna mtu ana rimoti!Una tegemea nini?
 
Kama si JK mbona ubwabwa tukula Jk alimwonea huruma akachukuliwa na ndege moshi dar hadi india kumponyesha sukari lasivyo ange katika hivyo hawezi kusema vizuri upinzani!yeye lazima aitukuze ccm kwanza hata ubunge wamemsaidia unategemea nini?hukusikia akipamba JK wakati wa uchaguzi mkuu wakati yeye alisimamisha mgombea!
 
Back
Top Bottom