Mrema atoa siku saba kwa Paul Makonda kujieleza

Anajiitaga "Mwenyekiti wa taifa wa Parole" asipoweka neno wa taifa cheo kinakuwa kidogo..

Pia kawaambia polisi wajieleze sijui ni kutokana na nini ila nimeishia kusoma tu tittle... Pia kawaambia Chadema wakileta chokochoko atawafunga na gazeti la UHURU likaandika "Lyatonga Mrema awavaa CHADEMA"

Nacheka kwa dharauuu
 
Huyu mzee alishahamia kijijini kimoja, kule alikuwa anapata ile 'kitu ya kibosho' (mbege ya msesewe)! sasa kupata hiki cheo mbege ya kibosho inamtuma kuwa yeye ni waziri wa mambo ya ndani na naibu waziri mkuu.
 
Back
Top Bottom