steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,092
- 1,433
Hebu atupishe huko, yeye aliyoyafanya ni kidogo? Katakuwa kanamwonea wivu kwa vile amekafuata huko huko kaliko! Wa kuiua CHADEMA hajazaliwa bado!Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustino Mrema, amemtaka Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia asitumike kuvimaliza vyama vingine vya upinzani, ambapo amesema itafika mahali na yeye chama chake kitakufa, ikiwa ni miezi michache baada ya Mbunge wa Moshi Vijijini Anthony Komu,
kutangaza kujiunga na chama hicho Ubunge wake ukifikia mwisho.
Mrema ameyasema hayo wakati wa mahojiano, maalum na EA RadIO na EATV Digital, ambapo James Mbaria ni miongoni mwa watu ambao, alikuwa ndani ya NCCR - Mageuzi, alipelekea chama hicho kupoteza idadi ya Wabunge.
Mrema amesema kuwa "Mbatia nilikuwa naye NCCR - Mageuzi akiwa mpinzani mkubwa na akapelekea NCCR kufika hapa ilipo, akiwa mkubwa asiue vyama vingine,kama lengo lake ni kuua wenzake itafika mahali atauliwa yeye."View attachment 1417575
Sent using Jamii Forums mobile app
Lyatonga leo kaongea point kwa mara ya kwanza tangu 1995!Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustino Mrema, amemtaka Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia asitumike kuvimaliza vyama vingine vya upinzani, ambapo amesema itafika mahali na yeye chama chake kitakufa, ikiwa ni miezi michache baada ya Mbunge wa Moshi Vijijini Anthony Komu,
kutangaza kujiunga na chama hicho Ubunge wake ukifikia mwisho.
Mrema ameyasema hayo wakati wa mahojiano, maalum na EA RadIO na EATV Digital, ambapo James Mbaria ni miongoni mwa watu ambao, alikuwa ndani ya NCCR - Mageuzi, alipelekea chama hicho kupoteza idadi ya Wabunge.
Mrema amesema kuwa "Mbatia nilikuwa naye NCCR - Mageuzi akiwa mpinzani mkubwa na akapelekea NCCR kufika hapa ilipo, akiwa mkubwa asiue vyama vingine,kama lengo lake ni kuua wenzake itafika mahali atauliwa yeye."View attachment 1417575
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachaga wa Rombo, Marangu na Vunjo hao, ndiyo zao hao, so wanajuanaMwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustino Mrema, amemtaka Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia asitumike kuvimaliza vyama vingine vya upinzani, ambapo amesema itafika mahali na yeye chama chake kitakufa, ikiwa ni miezi michache baada ya Mbunge wa Moshi Vijijini Anthony Komu,
kutangaza kujiunga na chama hicho Ubunge wake ukifikia mwisho.
Mrema ameyasema hayo wakati wa mahojiano, maalum na EA RadIO na EATV Digital, ambapo James Mbaria ni miongoni mwa watu ambao, alikuwa ndani ya NCCR - Mageuzi, alipelekea chama hicho kupoteza idadi ya Wabunge.
Mrema amesema kuwa "Mbatia nilikuwa naye NCCR - Mageuzi akiwa mpinzani mkubwa na akapelekea NCCR kufika hapa ilipo, akiwa mkubwa asiue vyama vingine,kama lengo lake ni kuua wenzake itafika mahali atauliwa yeye."View attachment 1417575
Sent using Jamii Forums mobile app
Shetani anapojigeuza kuwa malaika!Lyatonga leo kaongea point kwa mara ya kwanza tangu 1995!
Ni Marangu/ Vunjo mkuuWachaga wa Rombo hao, wanajuana
Ila Edo alikua jeshi la mtu mmoja. Kuna baadhi ya watu wanasema na wanaamini kwenye mechi iliyopita ile ya 2015 alikua kasha score na ngoma iliokolewa ikiwa imeshavuka goal line, shukran kwa refarii. VAR ingekua inaruhusiwa watu wangeonaNchi hii haijapata Mpinzan alietingisha na nchi ikatilisika hadi Mzee Nyerere akakosa Usingizi Butiama kama huyu Lyatonga
Lyatonga alikuwa Lyatonga kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Edo alikua jeshi la mtu mmoja. Kuna baadhi ya watu wanasema na wanaamini kwenye mechi iliyopita ile ya 2015 alikua kasha score na ngoma iliokolewa ikiwa imeshavuka goal line, shukran kwa refarii. VAR ingekua inaruhusiwa watu wangeona