Mrema amuonya mbatia kuua upinzani nchini

steve_shemej

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
942
1,000
Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustino Mrema, amemtaka Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia asitumike kuvimaliza vyama vingine vya upinzani, ambapo amesema itafika mahali na yeye chama chake kitakufa, ikiwa ni miezi michache baada ya Mbunge wa Moshi Vijijini Anthony Komu,

kutangaza kujiunga na chama hicho Ubunge wake ukifikia mwisho.

Mrema ameyasema hayo wakati wa mahojiano, maalum na EA RadIO na EATV Digital, ambapo James Mbaria ni miongoni mwa watu ambao, alikuwa ndani ya NCCR - Mageuzi, alipelekea chama hicho kupoteza idadi ya Wabunge.

Mrema amesema kuwa "Mbatia nilikuwa naye NCCR - Mageuzi akiwa mpinzani mkubwa na akapelekea NCCR kufika hapa ilipo, akiwa mkubwa asiue vyama vingine,kama lengo lake ni kuua wenzake itafika mahali atauliwa yeye."
IMG_20200412_201555_243.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manjagata

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
5,536
2,000
Hebu
Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustino Mrema, amemtaka Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia asitumike kuvimaliza vyama vingine vya upinzani, ambapo amesema itafika mahali na yeye chama chake kitakufa, ikiwa ni miezi michache baada ya Mbunge wa Moshi Vijijini Anthony Komu,

kutangaza kujiunga na chama hicho Ubunge wake ukifikia mwisho.

Mrema ameyasema hayo wakati wa mahojiano, maalum na EA RadIO na EATV Digital, ambapo James Mbaria ni miongoni mwa watu ambao, alikuwa ndani ya NCCR - Mageuzi, alipelekea chama hicho kupoteza idadi ya Wabunge.

Mrema amesema kuwa "Mbatia nilikuwa naye NCCR - Mageuzi akiwa mpinzani mkubwa na akapelekea NCCR kufika hapa ilipo, akiwa mkubwa asiue vyama vingine,kama lengo lake ni kuua wenzake itafika mahali atauliwa yeye." View attachment 1417575

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu atupishe huko, yeye aliyoyafanya ni kidogo? Katakuwa kanamwonea wivu kwa vile amekafuata huko huko kaliko! Wa kuiua CHADEMA hajazaliwa bado!
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
11,026
2,000
Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustino Mrema, amemtaka Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia asitumike kuvimaliza vyama vingine vya upinzani, ambapo amesema itafika mahali na yeye chama chake kitakufa, ikiwa ni miezi michache baada ya Mbunge wa Moshi Vijijini Anthony Komu,

kutangaza kujiunga na chama hicho Ubunge wake ukifikia mwisho.

Mrema ameyasema hayo wakati wa mahojiano, maalum na EA RadIO na EATV Digital, ambapo James Mbaria ni miongoni mwa watu ambao, alikuwa ndani ya NCCR - Mageuzi, alipelekea chama hicho kupoteza idadi ya Wabunge.

Mrema amesema kuwa "Mbatia nilikuwa naye NCCR - Mageuzi akiwa mpinzani mkubwa na akapelekea NCCR kufika hapa ilipo, akiwa mkubwa asiue vyama vingine,kama lengo lake ni kuua wenzake itafika mahali atauliwa yeye." View attachment 1417575

Sent using Jamii Forums mobile app
Lyatonga leo kaongea point kwa mara ya kwanza tangu 1995!
 
mbalaka

JF-Expert Member
Oct 7, 2017
1,797
2,000
huyu mzee apumzike tu, katumika kama kondom.
kabla hajayaona ya Mbatia ni vyema ajifikirie zaidi yeye alivyotumika na System kwa ahadi ya jimbo la Vunjo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
11,115
2,000
Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustino Mrema, amemtaka Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia asitumike kuvimaliza vyama vingine vya upinzani, ambapo amesema itafika mahali na yeye chama chake kitakufa, ikiwa ni miezi michache baada ya Mbunge wa Moshi Vijijini Anthony Komu,

kutangaza kujiunga na chama hicho Ubunge wake ukifikia mwisho.

Mrema ameyasema hayo wakati wa mahojiano, maalum na EA RadIO na EATV Digital, ambapo James Mbaria ni miongoni mwa watu ambao, alikuwa ndani ya NCCR - Mageuzi, alipelekea chama hicho kupoteza idadi ya Wabunge.

Mrema amesema kuwa "Mbatia nilikuwa naye NCCR - Mageuzi akiwa mpinzani mkubwa na akapelekea NCCR kufika hapa ilipo, akiwa mkubwa asiue vyama vingine,kama lengo lake ni kuua wenzake itafika mahali atauliwa yeye." View attachment 1417575

Sent using Jamii Forums mobile app
Wachaga wa Rombo, Marangu na Vunjo hao, ndiyo zao hao, so wanajuana
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
23,065
2,000
Ameona Mbatia anapata fungu zaidi kuua upinzani ameanza kupata wivu.

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Sep 10, 2017
9,185
2,000
Nchi hii haijapata Mpinzan alietingisha na nchi ikatilisika hadi Mzee Nyerere akakosa Usingizi Butiama kama huyu Lyatonga

Lyatonga alikuwa Lyatonga kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Edo alikua jeshi la mtu mmoja. Kuna baadhi ya watu wanasema na wanaamini kwenye mechi iliyopita ile ya 2015 alikua kasha score na ngoma iliokolewa ikiwa imeshavuka goal line, shukran kwa refarii. VAR ingekua inaruhusiwa watu wangeona
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
22,699
2,000
Ngoyai nyuma yake walikuwa kina Rostam kama 50 hivi na akaongezewa nguvu na Chadema yenye mizizi nchi nzima

Lyatonga alikuwa kama Solo artist tena akitumia NCCR chama kichanga tena nyakati ambazo hakuna technolojia ya habari na mawasiliano

Pamoja na Nyerere kuingilia kati ililazima Wazee wa kazi wavuruge draft Dsm nzima tuanze upya kama ilivyofanyika Znz chini ya Comrade Jecha

Mrema alikuwa habari zingine tena kumbuka hakuwa na Fungu nene kama Lowassa na Marafiki zake

Nchi hii naamini bado hajapatikana wa kumfunika Lyatonga wa 1995
Ila Edo alikua jeshi la mtu mmoja. Kuna baadhi ya watu wanasema na wanaamini kwenye mechi iliyopita ile ya 2015 alikua kasha score na ngoma iliokolewa ikiwa imeshavuka goal line, shukran kwa refarii. VAR ingekua inaruhusiwa watu wangeona
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom