sie wasomaji wa raia mwema na mwanahalisi tuna uwezo wa kusoma gazeti zima mpaka ukurasa wa michezo.....na sie wanafunzi wa chachage tumefundishwa kusoma kuanzia kitabu cha max volume ya kwanza mpaka ya mwisho ili ijubi swali moja la chachage....kusoma kwetu si tabu au adhabu ni kuongeza maarifa na ujuzi
kumbuka hakuna generalization....hakuna sisi 'watanzania wavivu' wa kusoma ......kuna mtanzania mmoja mmoja mvivu wa kusoma....siwezi kugeneralizi taarifa za kijiji kimoja tu sembuse taifa
mix with yours

Mwacheni huyo mzee..anatafuta hifadhi, muda wake umekwisha na kisukari nacho kinazidi kumtafuna
Hongera kwa analysis ya ukweli.
Wewe umetoka kwenye ban leo, unaitafuta ban nyingine hebu tulia kwanza futari ishuke, nenda kule jukwaa la MMU kawape watu ushauri, huku utajitafutia ban nyingine ngoja mwezi mtukufu uishe ndio uje huku.Magwanda siku zote huwa hampendi kuusikia ukweli.
Vipi, miyeyusho ya Arusha mbona mnaikalia kimya? Au ni halwa tu hata mkipigwa changa la macho?
Wewe umetoka kwenye ban leo, unaitafuta ban nyingine hebu tulia kwanza futari ishuke, nenda kule jukwaa la MMU kawape watu ushauri, huku utajitafutia ban nyingine ngoja mwezi mtukufu uishe ndio uje huku.
Inaonekana wewe huna taarifa za DODOMA leo walivyofukuzwa kwenye chama Lowasa na Chenge. Gamba limeshavuliwa hongera sana CCM.Jibu hoja huko achana na mimi.
Wewe umetoka kwenye ban leo, unaitafuta ban nyingine hebu tulia kwanza futari ishuke, nenda kule jukwaa la MMU kawape watu ushauri, huku utajitafutia ban nyingine ngoja mwezi mtukufu uishe ndio uje huku.
Inaonekana wewe huna taarifa za DODOMA leo walivyofukuzwa kwenye chama Lowasa na Chenge. Gamba limeshavuliwa hongera sana CCM.

Usimseme mtu kwa ugonjwa anaougua kumbuka kuna kesho ndugu..au ndo umevuka mto?think thrice frend..