Tutafika
JF-Expert Member
- Nov 4, 2009
- 1,443
- 636
Endelea kumuignore atanyooka tu
Unamdanganya mwanamke mwenzio...atapoteza mume jumla. Halafu wote watapata hasara, na watoto ndio waathirika wakuu. Tatizo nyie wanawake hamtafuti chanzo cha matatizo, mnapambana na matokeo! Hilo la kugomea ngono ni hatari sana, na mumeo yuko katika hatari ya kufa mapema.