Mrejesho wa Valentine Day

Mrejesho wa Valentine Day

Ah npo guest kuna muhudumu tulikubaliana tutiane leo sasa ivi nackia makelele chumba cha pili anatiwa sijui akimaliza hatakuja kwangu ngoja nimsubirie
 
Mine was like this..
tapatalk_1502225972488.jpeg
 
Nimeenda kanisani kupakwa majivu nilipotoka nikapiga wali wa maharage na parachichi saaaaaafi kabisa nikazima simu nikalala
 
Daaa Kichwa cha habari kipo wazi sana hebu tupe Mrejesho wa Valentine day ilikuwaje kwako mi binafsi leo nlikuwa naumwa tangu Jana nilikuwa kitandani na malaria namshukuru Mungu naendelea Ku recover slowly sijui wewe ilikuwaje Promised meet?
Au Offer 2,3?,Majivu?
SIKU HIZI UMEAMUA KUWEKA PICHA YAKO
 
Kabisa Nimeona niiweke ila Kama Nitakutana na Changamoto nitaiondoa....
Long time kitambo.....tangu Kipindi kile Tunakutana Ocean Road kama Jf,pia Pale mwananyamala nimesahau jina lake...mtakuja sijui tupo hapa....sijui....toroka uje...nimelisahau jina!
Mtambuzi na Madame B wanapakumbuka pia na Asprin!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom