Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,334
- 3,004
Jameni mm nilisikia eti mkuu wa Mkoa siyo Mwajiriwa wa serikali yy ni Mwanasiasa. Sifa kuu ni kujua kusoma na kuandika tu. Japo muongozo wao unataka awe na Advanced Diploma au Degree or Equivalent to that.
Majuzi, ijumaa huyu jamaa kageukia Ma afisa Elimu mkoa wa Dar. Hawa ni wa ajiriwa wa serikali na wajibika kwa Afisa Elimu mkoa au Katibu Mkuu Wizara ya Elimu...
Binafsi ningekuwa miongoni mwao nisinge andika barua wala kujieleza kwake...
Lengo la uzi huu ni kuomba mrejesho au feedback make Deadline ilikuwa jana, either wajieleze vp watahakikisha Dar inakuwa ya 1 au waache kazi!!
Mm najiuliza kwa style hii ni mkoa gani utakubali uwe wa mwisho? Je no1 atakuwa nani? Je yy alivyo feli shule ya msingi na sekondary ma afisa elimu wake walifukuzwa?