Mrejesho wa safari ya treni kwenda Moshi full bata

Piga hesabu mwenyewe, likitoka saa 11 jion linafika saa 1.20 asubuhi

Piga hesabu mwenyewe, likitoka saa 11 jion linafika kesho yake saa 1.20 asubuhi
Sikua nineona hapo.. nilijjua kaweka nuda tu ilipoondoka.
 
Mkuu kwani kuna anaelazimishwa kupanda treni?
Wasafiri wote wanaenda kupumzika ? Au unadhani mahitaji yako ni sawa na ya kila mtu ?
Unasahau needs and wants zinatofautiana na katika hizo needs muda pia ni determinant..

By the way jifunze kujibu maswali..., swali ni muda wa train na basi upoje sio kuwahi au kuchelewa kwa mtu aendaye kupumzika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kweli hayo ni maoni yako...unaambiwa kanda inayoongoza kwa wasafiri wengi ni kaskazini yana Tanga Kilimanjaro na Arusha afu ndio ifate sehem zingine,abiria wanakosekanaje kwa treni?
Treni mwisho mwezi wa Machi, baada ya hapo itafufuliwa tena Desemba. Abiria wa Moshi ni wa msimu tu.

NB:Hayo ni maoni yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mtu sio mtumiaji wa pombe atakaa wapi? Au kuna mahali pakunywea kwa watumiaji tu? Na jee hapo uliposema kuna chumba una lala kabisa ila ni watu sita ni mchanganyiko wa ke na me au? Natamani kweli kulipanda
 
muda basi vs train ni masaa mangapi ?

Hii sana sana wakitaka kusaidia watu ni kuongeza mabehewa ya mizigo, pia kumbuka hauna haja ya kushukuru sana hii ni haki yako wewe unayetoa kodi na kama uwezekano upo wapate faida kwenye mizigo na nauli bado wapunguze kulingana na kipato cha mlalahoi,
" kumbuka hakuna haja ya kushukuru sana hii ni haki yako wewe unayetoa kodi ....."
Kwanini asishukuru serikali ya JPM? Kinakuuma nini mtu akishukuru? Miaka mingapi imepita tangu usafiri wa TRC moshi ufe?? Weee vipi??
 
chumba ni mchanganyiko ila kila m1 na kitanda chake

Kama hutumii pombe unaweza kwenda kula na kuondoka,kama ni soda au maji ukanywea kwenye kiti chako
Kama mtu sio mtumiaji wa pombe atakaa wapi? Au kuna mahali pakunywea kwa watumiaji tu? Na jee hapo uliposema kuna chumba una lala kabisa ila ni watu sita ni mchanganyiko wa ke na me au? Natamani kweli kulipanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana bos kwa ufafanuzi,mana kama sio kushukuru kwanini miaka yote kodi yangu haikuepo? Kwann haikutumika kuweka usafiri huo??
" kumbuka hakuna haja ya kushukuru sana hii ni haki yako wewe unayetoa kodi ....."
Kwanini asishukuru serikali ya JPM? Kinakuuma nini mtu akishukuru? Miaka mingapi imepita tangu usafiri wa TRC moshi ufe?? Weee vipi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasafiri wote wanaenda kupumzika ? Au unadhani mahitaji yako ni sawa na ya kila mtu ?
Unasahau needs and wants zinatofautiana na katika hizo needs muda pia ni determinant..

By the way jifunze kujibu maswali..., swali ni muda wa train na basi upoje sio kuwahi au kuchelewa kwa mtu aendaye kupumzika
Kama una haraka kuna ndege na mabasi, pesa yako tu.
Mbuzi anakula kulingana na urefu wa kamba yake.

Unaweza kutoka saa 10 jioni kazini hapa Dar ukaenda Moshi unafika saa 1 asubuhi unafika ofisi yoyote kama unaenda kikazi au kibishara binafsi.
 
Back
Top Bottom