Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,188
- 27,045
hahahah mpk uachane na yule mwanachuo anaekupigaga vimzinga vidogo vidogo...alafu uje upate vimzinga heavy hukuNdo najarbu kujileta adoado nkiona
Kuna muelekeo mzur bhas
Ntabisha na miguu yote
hahahah mpk uachane na yule mwanachuo anaekupigaga vimzinga vidogo vidogo...alafu uje upate vimzinga heavy hukuNdo najarbu kujileta adoado nkiona
Kuna muelekeo mzur bhas
Ntabisha na miguu yote
nipigie mm hata mwaka mfulilizo.wewe si kirahisi vile nataka nikupigie simu kila siku usiku saa 7 tuongee tena kwa sauti kwa muda wa mwezi mzima kabla ya chochote ujue mtu usiyemjua usimkurupukie kama zile risasi za Kinondoni mkuu
Mbona umeitoa ile Avatar tuloizoea?.hahahahaa ...salamu kwako pia
nakufuatilia pia kwa ukaribu zaidiiii
Afadhal maana ungekua kwenye list MkuuHahahahahaaaaa
Nina vyeti fake mkuu
Nimependa sentensi yako ya mwisho:......."Sitaki tena mchumba nimeshiba"!
Marufuku kukata tamaa, Usser.Ndo najarbu kujileta adoado nkiona
Kuna muelekeo mzur bhas
Ntabisha na miguu yote
itabidi muizoee na hyo sasa....binadamu tunabadilika hivyo na avator zibadilikeMbona umeitoa ile Avatar tuloizoea?.
Macho huzoea kutazama ujue?, Sawa buana.
Yani we kama ni mwanamke kweli hujakutana na mwanaume mjanja na nakuombea usikutane nae usije leta thread ya kutaka jinyonga!!Hahahahahaha mkuu mimi ni mwanamke kabisa najua huwezi kuamini ila nilivyo ni ngumu kudanganywa na wanaume wenye akili ndogo mpaka uwe mjanja zaidi yangu
Kwani nilikua natafuta hawara ?Mwanamke ukikosa bwana hata wa kukukamua mtaani kwako we ndio mwenye matatizo tena makubwa!! Unakuja tafuta mchumba JF na unawatangaza juu aseee no wonder umekosa hata kiben10 cha kukuliwaza panya wewe!
Nmekosa mwenye sifa nizitakazo hlf kila mtu ana akili tofauti yawezekana mimi nilivutiwa kupata huku jf vipi una jingine ?Mwanamke ukikosa bwana hata wa kukukamua mtaani kwako we ndio mwenye matatizo tena makubwa!! Unakuja tafuta mchumba JF na unawatangaza juu aseee no wonder umekosa hata kiben10 cha kukuliwaza panya wewe!
Haaa haa haa yule tulishapga chinhahahah mpk uachane na yule mwanachuo anaekupigaga vimzinga vidogo vidogo...alafu uje upate vimzinga heavy huku
Ahsante sana mkuu DahafrazerilMarufuku kukata tamaa, Usser.
Hii Falsafa naipenda sana, Fanya ushindwe. Usishindwe kufanya.
Nafkiria na mm Ku change hii yangitabidi muizoee na hyo sasa....binadamu tunabadilika hivyo na avator zibadilike
100 LIKESNi upuuzi kuweka jambo serious humu kwa nia ya kufanya upuuzi. Hakukuwa na haja ya kuleta kilichojiri huko kwakuwa ilipaswa kuwa siri yako. Hebu acheni huu upuuzi mara moja, mnadhalilishana bila ya sababu. Kumbe mnaanzisha mada ili mpate mada? Bure kabisa!
I got you Comrade.Kwakweli mpaka nahakikishe
Inna amekaa kwenye 18 zang
Habari zenu wanajukwaa.
Andiko hili nalileta kwenu ili kuwapa mrejesho wa kile nilichokiandika hapo juu.
Ni kama miezi miwili na kidogo nilileta tangazo la kutafuta mchumba hapa ktk jukwaa hili. Kweli watu walikuwa na muitikio mkubwa tuu mamia ya watu walinitafuta PM lakini duh nilikutana na vituko mpaka vinachekesha.
Ni vingi mno siwez kuwaelezea vyote ila nitawaelezea baadhi tuu ambavyo ni vya kushangaza zaidi;
Kituko no 1 ambacho kiliniacha mdomo wazi nilikutana PM na jamaa mmoja akajinadi weeee kama mtu. Akaomba tukutane nae tuongee vizuri kwa mapana nikamjibu hakuna tatizo nitakujuza ni lini siku ya kukutana, akanipatia namba tukaanza kuchat. Kumbe mimi namchunguza sehemu mbalimbali kwa kutumia ID yake siwez kukurupuka kukutana na mtu simjui lazima nifanye uchunguzi yakinifu.
Nikagundua jamaa ana mke tena ni mjamzito ila kwa wakati ule mke alikuwa kwao mkoani kujifungua. Nikazichukua picha za dada wa watu nikamtumia mumewe nikaandika na caption kuwa dhambi hiyo fanya mwenyewe. Jaman wanaume hawa!
Alishangaa nikamwambia usinitafute la sivyo nitampa taarifa mke wako alikuwa mpole akaniblock faster WhatsApp na miadi ya kuonana ikafa.
Kijeba no 2. Ni jamaa mmoja hiviiii tulipeana no tukazama inbox kila wakati mabusu moto inbox wacha wewe ila tatizo akiandika hatengi maneno mf. "Nipohapa".
Tukachatiiiii ila ukimtafuta usiku hapokei simu asubuhi ataniambia nilikua nimechoka nikalala fofofo, mara nilipata homa nikawa mbali na simu, mara mtandao wa shida nyakati za usiku ila yupo mjini Daslam tena kati.
Ikaja siku ya kukutana, tukaipanga siku ya kukutana sawa hee nikamwambia tukutane jirani na nyumbani kwako ikiwezekana nikutembelee. Jamaa akaanza sababu, mara vitu sijapanga ndani pako vuluvulu, tuanzie kukutana kwako. Nikaona kimeo nikampa block kwendaaaa
Njemba no 3 na 4. Hawa wanafanana kauli, kikwazo cha kuwatembelea makwao ni kwamba mmoja anaishi na mtoto wa dada'ake wa kike mwenye miaka 28 na mwingine anaishi na binamu yake miaka 26 wa kike anamsomesha, wanaishi nae wawili tuu kwahiyo nisiende kwanza tukutane bar. Hapo wewe kama una kauwezo kadogo tuu ka kufikiri jiongeze.
Binadamu no 6. Huyu ni kiboko, mwalimu huyu balaa tumechatiiiii mambo mengi sana ila nilipofika kwenye point ya kufika akasema ana mpango wa kuhama alipo kwahiyo nyumbani kwake vitu kavifunga vipo ktk mafurushi kwahiyo nisubiri ahamie kwingine ila mimi na yeye tukutane kwangu.
Mimi nikamwambia kwangu hapana mpaka nifike kwako sasa. Akasemaaaa tukutane hotelini nikamwambia poa. Etiii akaniuliza siku hiyo utarudi nyumbani au tuchukue room ili tuongee kiundani kabisa deeply? Nadhani alimaanisha maongezi gandamizi kuminywa. Kwikwikwi!
Niishie hawa tuu ila vituko vilikua vingi mnoooo ila mpaka sasa sijabahatika kukutana face to face na yeyote baada ya kuona yale tuu sikuingia humu tangu january lol na sitaki tena mchumba nimeshiba.
Asilimia kubwa ya wanaume humu wanawake.
yawezekana sikua serious ila reaction yake inatia hofu unajua kabisa ni tapeli utaendelea kutaka kutapeliwa?Hapo ngoma droo, wote mmeishia kuchunguzana, kila mmoja hataki kumpeleka mwenzake kwake,
Wewe hutaki kupeleka mgeni kwako na wao pia hawataki kupeleka mgeni kwao,
Nakushauri, ni bora ukubali kukutana na mtu bar kabla ya nyumbani kwake au kwako ,
kwanza itasaidia ikiwa mtu hutamridhia labda ki muonekano au hata namna ya uongeaji wake basi inakuwa rahisi tu quit mawasiliano,