usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,978
- 14,092
Haya niambie nkuletee nnniletee cha kutafuna
Chapat
Maandaz
Mkate,
mihogo
Haya niambie nkuletee nnniletee cha kutafuna




jamaa anatak akupe rungu nyama siku ya meetingOmbi lako la kukuoa nimelikubali mrembo na hata kukutatua marinda safi tu ukinitunukuKwahiyo maombi yangu huwezi kuyafanyia kazi?
Nimekujibu kama kijana na mwanaume. Unavyosema hukua serious hiyo sasa ni mada nyingineYawezekana sikua serious kwenda makwao ni kuwapima tuu lkn reaction zao zina walakini unajua kabisa something fishy mkuu kuwa mpembuzi
mihogoHaya niambie nkuletee nn
Chapat
Maandaz
Mkate,
mihogo
Ulianzisha hadi uzi kulalamika nimekutukanaOmbi lako la kukuoa nimelikubali mrembo na hata kukutatua marinda safi tu ukinitunuku
Salamu, Inna.ukiweka tangazo humu asilimia kubwa watakao kufuata ni wanaume ambao wameshaoa ila tamaa tu
me nafikir kijana alie serious hawezi kutamfuta mke dizain hii labda incase ikatokea kuna jambo fulan mmesaidiana huko pm mkazoeana hao atleast wanaweza kua na mahusiano serious..otherwise my dear muombe tu Mungu akuonyeshe ikiwa mtaani au humu kwa namna yoyote ile.njia za Mungu ni za ajabu
hahahahaa ...salamu kwako piaSalamu, Inna.
Pendo ni kama mti usio na kinyongo. Popote hujiotea, katu halichagui pa kuotea. Huwezi, siwezi kujua. Pengine humu ndimo kulimo mlango wa ubavu wake.
Hongera ndugu, ngoja nifanye bidii niwe na utamaduni wa kukufuatilia kwa nyuma. Huenda nikaokota mnofu. Si unajua mbwa mtembea bure si sawa na mbwa mkaa bure?.
Maneno yako mara nyingi ni mazima.
Ndo maana nasitasita kupga hodukiweka tangazo humu asilimia kubwa watakao kufuata ni wanaume ambao wameshaoa ila tamaa tu
me nafikir kijana alie serious hawezi kutamfuta mke dizain hii labda incase ikatokea kuna jambo fulan mmesaidiana huko pm mkazoeana hao atleast wanaweza kua na mahusiano serious..otherwise my dear muombe tu Mungu akuonyeshe ikiwa mtaani au humu kwa namna yoyote ile.njia za Mungu ni za ajabu
vyote wekaNiweke plipil
Au niweke tu kachumbar
kwann rafik angu?Ndo maana nasitasita kupga hod
Ndo najarbu kujileta adoado nkionakwann rafik angu?
Zama pm ukajiopolee mke bwanaNi upuuzi kuweka jambo serious humu kwa nia ya kufanya upuuzi. Hakukuwa na haja ya kuleta kilichojiri huko kwakuwa ilipaswa kuwa siri yako. Hebu acheni huu upuuzi mara moja, mnadhalilishana bila ya sababu. Kumbe mnaanzisha mada ili mpate mada? Bure kabisa!