punguza kiereere angalia umevunja ndoa ya watu
Picha nilipiga mm sio yeye
halafu huu ushauri wa kupiga picha mbona hukuambiwa na wadau kwenye ile mada ya awali...na ushauri wote uliopewa umeupiga chini...
halafu huu ushauri wa kupiga picha mbona hukuambiwa na wadau kwenye ile mada ya awali...na ushauri wote uliopewa umeupiga chini...
ndo maana mimi huwa nawachagulia watu wangu wakaribu ikiwemo bae Marafiki wakua nao
wengine ni petrol moto ukiwaka kati yenu una,uona anakuja na dumu ukadhani maji kumbe anakuja kumwagia petrol
utakuja liwa kiboga mjini hapa
acha watu wachepuke kivyao na ku deal na ndoa zao wenyewe
HAIKUHUSU
WATU WANACHEPUKA KISELA TU NA MAMBO YANAENDELEA WEWE HII UMEIFANYA IKAWA BIG DEAL NDOA YENYEWE SI YAKO
UTAJAKUNJWA KIUNO USHIKE VIDOLE